mwaka jana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania John Heche: Tunaongozwa na watu waliokosa maarifa

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema Serikali ya CCM inaongozwa na watu waliokosa maarifa badala yake wamebaki kutishia wapinzani na kufungua mitandao ya kijamii. Ameyasema hayo Agosti 12 katika maadhimisho ya vijana kimataifa yaliyofanywa na chama hicho jijini Dodoma.
  2. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lucy Komba: Naomba msamaha kwa maandamano ya mwaka jana

    Mwigizaji wa zamani wa maigizo lucy Komba ameomba msamaha kwa Serikali na wananchi wa Tanzania kufuatia mjadala ulioibuka baada ya kuwa moja ya watu waliowahi kuzua kauli tata za maandamano Mwaka Jana. Baadhi ya wananchi na watumiaji wa mitandao ya kijamii wanamtuhumu Lucy Komba kuwa alikuwa...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Mwaka jana wakati wa uchaguzi CCM ilichangisha B.86 hatujasikia wakisema ichunguzwe

    Hatujasikia wakisema Samia na Nchimbi wachunguzwe walivyozitumia, leo million 300 tu press kila kona. Wachimba Madini walichanga bilioni 16. Kampuni ya GSM bilioni 10. CCM Zanzibar bilioni 4 na kuahidi kuongeza bilioni 1. Klabu ya Yanga: Ilichangia Shilingi milioni 100.
  4. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Kuna member mzanzibari mwenye asili ya asia nae alifariki mwaka jana mwezi wa tano au sio wasita, tumuombee nae

    Huyu mzanzibari alikua kama anko wangu nadhani jamii forum ndo iliyo tufanya tuwe kama ndugu, mi nilikua nimeajiriwa na mdogo wake wa kike, ndo tulipo fahamiana hapo. Alikua anafanya kazi smz kama si ardhi, basi mambo ya ujenzi sijui sikumchinguza sana, alikua akiishi stone town, mwaka Jana...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO AJIRA MPYA Halmashauri ya Wilaya ya MBOGWE-GEITA hatujapatiwa FEDHA ZA KUJIKIMU tangu mwaka jana

    Tukiwauliza viongozi hatupewi majibu tunaishiwa kutishiwa tu na kujibiwa kisiasa kuwa akama ni haki yetu tutaipata hata kwa kuchelewa sana
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Wapya Wilaya ya Mpwapwa-Dodoma (2025-2026) tunadai pesa ya kujikimu

    Walimu tulioajiriwa mwaka Jana ngazi ya Sekondari tulipewa Hela ya kujikimu nusu (Laki Nne) mwaka huu na hatujui nyingine tunamaliziwa lini. Lakini pia kwa Wale walio ajiriwa mwaka huu (January 2026 ) hawajapewa Bado na haijulikani wanapewa lini.
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Goli la Chama linaizidi kwa mbali Goli la Puskat 2025

    https://youtu.be/dytqapjk4Qw?si=8FYtt5wPiJNBozBu Kwa mujibu wa mitandao hilo ndio goal la Puskat kwa mwaka jaza. Ukilinganisha goal la Chama ni hatari kuliko hili https://youtu.be/YeFifs15d8I?si=oelqqxCQEKTT4cA0
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waajiliwa Afya Butiama tunadai Hela ya Kujikimu. Hatujapewa tangu mwezi wa Nane 2025 mpaka sasa

    Hellow habari za Majukumu... Naomba mtusaidie kupaza Sauti sisi waajiliwa wapya wa kada ya AFYA katika halmashauri ya wilaya Butiama Hatujapewa Hela ya Kujikimu tangu tumepata Ajira mwaka Jana mwezi wa Nane 2025 Mpaka Sasa. Tulifatilia kwa Katibu wa Halmashauri hii Yeye kila tukimtafuta...
  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Mwaka jana nilitoa wazo la kuanza mchakato wa haraka sana wa kujenga refinery Tanga

    Mwaka jana na hata mwaka huu baada ya straight of hormuz kufungwa nilitoa maoni yangu binafsi, Tuanze mchakato wa crude oil refinery haraka sana nashukuru dangote alikuwa na mawazo kama yangu na mchakato utaanza Kwanza ijengwe integrated refinery kama ile ya gujarati ambayo itakuwa na crude...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mpaka leo TANAPA imeshindwa kulipa Madai ya Watumishi, tunaishi maisha magumu

    Mwezi March mwaka huu, watumishi wanaishi maisha magumu sana. Shirika limeshindwa kulipa madai hayo ya watumishi, mfano fedha ya likizo baadhi ya hifadhi za mwaka juzi hawajalipwa. Pia limeshindwa kulipa stahiki nyingine ambazo baadhi ya taasisi ambazo ziko katika Jeshi la Uhifadhi zinalipa...
  11. Chancel Mbemba

    JamiiForums Tanzania Nawashukuru wote mliochangia uzi wangu mwaka jana mwezi wa 8

    Mwaka jana niliandika uzi hapo chini https://www.jamiiforums.com/threads/nimeishi-na-mwanamke-miaka-mitatu-bila-kupata-mtoto-nifanyaje.2376687/ Japokua msaada sikuupata kutokana na mtu wa hapa jf lakini nawashukuru wote, pamoja na wengine waliochangia kwa masihara. Ukiwa na jambo lako...
  12. Baba wa mbingu

    JamiiForums Tanzania Kitu gani ulifanya mwaka jana na hutamani mwingine akosee kama wewe?

    Kitu gani ulifanya mwaka uliopita kikavuruga kabisa mipango yako ya mwaka 2025 na hutamani mwingine akosee kama wewe Funguka kuna mtu anaweza jifunza kupitia wewe
Back
Top Bottom