LUCY KOMBA AOMBA MSAMAHA KUHAMASISHA MAANDAMANO
Badala ya kumkebehi au kumdharau kwa kujishusha na kuomba msamaha, tujifunze kwamba kuomba msamaha ni ishara ya ujasiri na uwajibikaji.
Pia tukumbuke kuwa nyumbani ni nyumbani. Tunaweza kwenda sehemu mbalimbali kutafuta fursa au kuishi, lakini...
Mwigizaji wa zamani wa maigizo lucy Komba ameomba msamaha kwa Serikali na wananchi wa Tanzania kufuatia mjadala ulioibuka baada ya kuwa moja ya watu waliowahi kuzua kauli tata za maandamano Mwaka Jana.
Baadhi ya wananchi na watumiaji wa mitandao ya kijamii wanamtuhumu Lucy Komba kuwa alikuwa...
Katambi Awaonya Wahalifu na Maandamano haramu ya Tarehe 7
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amewaasa watu wanaotoa kauli za kichochezi katika mitandao ya kijamii, majukwaa ya kisiasa na maeneo mbalimbali ambapo kauli hizo za kibaguzi na kichochezi zinahusu Muungano wa Jamhuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.