Lucky Dube is dead!

ccm hawakuwa involved na mauaji yake ?
mpo wapi jamani ?

Kada,
hii kitu ni maombolezi na kumkumbuka Dube.....
Mambo ya siasa za Tanzania subiri wakishapata chai ya rangi na mihogo ya kuchemsha, mwenyewe utakimbia......mie zimeshanichosha, kila siku same s**t mpaka inaboa!!
 
Inasemekana kuwa huu ni msiba mzito kwa wachagga wote watani wetu.

Kwani zamani ni kosa kubwa kwa nyumba ya mchaga kukosa kanda ya Dube na Sophia George.

Pole sana wachaga (watani wangu) kwa msiba huu na najua leo itakuwa ni mapumziko huko kwenu. Derckfula poleni sana tupo pamoja katika msiba huu.
 
Inasemekana kuwa huu ni msiba mzito kwa wachagga wote watani wetu.

Kwani zamani ni kosa kubwa kwa nyumba ya mchaga kukosa kanda ya Dube na Sophia George.

Wachagga wanasema, hata 'Pop' (Bob) Marley mwenyewe haoni ndani kwa Lucky Dube.
 
Dah jamanijamani.............anyway Lucky Dube Mungu ailaze pema roho yako peponi

Inasikitisha sana sana kwa kweli
 
Wema hawana maisha,ukifuatilia msg za nyimbo zake kuna watu zawauma ivyo akifa kwao ni faraja.
May his soul rest in Peace.Amen
 
Rest in Peace Lucky Dube.At least u talked the truth.your songs will remain forever in the hearts of the opressed.
 
sijui kiherehere gani kilinituma kuangalia BBC website asubuhi hii, nimekutana na habari hiyo nahisi siku yangu imeharibika!

Muziki wake una shemeu kubwa sana kwenye historia ya masiaha yangu binafsi...RIP Lucky Dube,

Najiuliza hivi hakuwaga na mabodyguard ama hayo mambo ni huko ulaya na marekani tu? I mean its too sad kuwa aliweza kuuwawa na majambazi, ama wametumwa? Maana najua nyimbo zake ziliwagsa wengi si ajabu!
 
Ooooh Its sad!,We'll miss you Lucky Dube.
Your music will live for many years RIP.
 
poleni wale wote wapenzi na mashabiki zake

I see mimi ni mmoja wa walioguswa sana na kifo chake. Lucky atakumbukwa sana na wote wapenzi wa Reggae.

SA si shwari. World Cup kunahitajika umakini mkubwa sana... Ndugu zangu mtakaofanikiwa kwenda huko jichunge kwani kule silaha kuwa nayo si kitu cha ajabu!
 
lkuck1.jpg



lucky1.jpg



Lucky3.jpg


wazee wa majani wameondokewa kina sir nature, afande sele na wengineo kazi imewakuta nnategemea chozi mtu.
 
Lucky Dube (RIP).

SA ndio kumekucha tutaona mengi tena wakati huu ambapo wanategemea kuchagua rais mrithi wa Mbeki.
 
Shi***t this is so sad.

I thought he died from a natural cause...how wrong was I; gunned down...!!!

What makes me even angry is they wanted to take his VW Polo..!!!

RIP Lucky Dube...and God Bless your family during this hard time.
 
Nimeumia sana jamani! Poleni wengine wote mlioguswa na kifo hiki. Pumzika kwa amani Dube
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom