Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,432
kkkk kweli nakwambia.Nalog in.
Acha utani.
Nalog off
kkkk kweli nakwambia.Nalog in.
Acha utani.
Ukisikiliza mziki wa Lucky Dube vizuri utagundua kamshinda Bob Marley kwa vitu vingi,sauti,beats,ingawa kiujumbe wanafanana,ila mziki wa Lucky Dube unavutia zaidi ukisikiliza.
Nadhani Bob Marley alipata umaarufu zaidi baada ya kufa,angekuwa hai angefunikwa sana na Luck Dube.
Robert Nesta Marleymtoa post r u serius?
Luck Dube hamfikii Richard Nesta Marley hata kwa robo ni sawa na kufananisha vitz na vogue.
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
Ukisoma historia ya music wa reggae Mwasisi halali ni Peter ToshMwasisi hasa wa regge ni nani?
Embu waeleze jamaaa Bob can't be compared He is the legendLuck dube anaimba kwaya, bob regae
Embu waeleze jamaaa Bob can't be compared He is the legend
Ukisikiliza mziki wa Lucky Dube vizuri utagundua kamshinda Bob Marley kwa vitu vingi,sauti,beats,ingawa kiujumbe wanafanana,ila mziki wa Lucky Dube unavutia zaidi ukisikiliza.
Nadhani Bob Marley alipata umaarufu zaidi baada ya kufa,angekuwa hai angefunikwa sana na Luck Dube.
We ll still find time to rapFeel it in the one drop Bob acha kabisa
bredrin wagwaan? mi read yo thread an see yu talking bout de ting dat uno nof nof an mi felt so down. di man yu talking bout aint nuh gwan be like di kin of reggae bob marley.diz a two kinda different peopl man.mi like lucky dube n respect him so much.
we ndugu umeanz kusikiliza reggae lini? acha kabisa usiongee mbele za watu haya maneno. haya mambo ukikaa huko kiboroloni ni sawa ukaongea na akina mangi,mosha na mrema. kwa sisi tunaofaham reggae hasa ya asili huwezi linganisha bob marley na lucky dube. bob marley alikuwa mwanafalsafa. hakuwa mtumbuizaji pekee. umesikia mapigo ya no woman no cry?umesikia
one love?umesikia
stir it up?
stiff necked fools?
naughty dread?
caution? umesikia
them bell are fully? umesikia
get up stand up?
i shot the sheriff ?
war?
trenchtown rock?
maga dog
nina albums zote alizowah toa bob marley nina nyimbo zooote za bob marley na zooote za lucky dube. najua nazungumzia nini.ukiacha aina buny wailer,p.tosh,culture,gregory isac,senzo,ijahman,burning spear,jimmy cliff etc.
acha kabisa kufanya ulinganifu usion na misingifu ya ujumbe na hata music yenyewe. sikatai Lucky dube ni mzuri alipaswa kushindanishwa na akina alpha blondy, gregory isac,burning spear,culture,israel vibration at least ingawa pia lucky dube ana aina yake ya reggae ambayo huwezi ifananisha na roots culture za akina israel vibration,culture n.k lucky dube ni ya kwake yeye kama yeye. wakati reggae kongwe inaongozwa sana na guitar zito na ngoma. lucky dube ndi yo kuna guitar lakini anapiga sana kinanda,ngoma na trumpets. ni aina tofaut ya music.
ila acha kabisa. acha ndugu yangu usiongee mambo haya. sawa? eeeh usiongee haya mambo sebuleni wakiwa wamekaa wana reggae watajisikia vibaya sana. nasisitiza lucky dube si mbaya ila reggae yake ni ya tofaut sana ni kizazi kingine cha reggae si ile reggae ya akina peter toshi,bob marley,bunny wailer,jimmy cliff etc.
wakati ukisoma post hii sikiliza no water.