Zion jrGong Marley
Senior Member
- Aug 27, 2018
- 173
- 108
Wajamaica mpaka Leo huwa hawakubali kama dube anaimba reggae wanasema anaimba muziki unaofanana na reggae ila sio reggaeKuna wakati lucky dube alialikwa jamaica.
Wakati wa show yake,,akazomewa na wajamaica eti yy haimbi reggae,bali music wake n kwaya
Sent using Jamii Forums mobile app