Gwankaja Gwakilingo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 1,996
- 618
Lucky he was lucky
Ukisikiliza mziki wa Lucky Dube vizuri utagundua kamshinda Bob Marley kwa vitu vingi,sauti,beats,ingawa kiujumbe wanafanana,ila mziki wa Lucky Dube unavutia zaidi ukisikiliza.
Nadhani Bob Marley alipata umaarufu zaidi baada ya kufa,angekuwa hai angefunikwa sana na Luck Dube.
Ukisikiliza mziki wa Lucky Dube vizuri utagundua kamshinda Bob Marley kwa vitu vingi,sauti,beats,ingawa kiujumbe wanafanana,ila mziki wa Lucky Dube unavutia zaidi ukisikiliza.
Nadhani Bob Marley alipata umaarufu zaidi baada ya kufa,angekuwa hai angefunikwa sana na Luck Dube.
huyo Dube kaimba wakati gani na Bob kaimba wakati gani so beat haziwezi kuwa na ubora sawa,pili hata kwenye mpira jezi za zamani ni duni kuliko za sasa..Jiulize Bob aliimba katika kipindi kipi na dunia ilikua unahitaji nini?Kwa kusikiliza kweli mziki wa dube unavutia maskioni,ila ngoma za bob ni ujumbe kwa yeyote asikilizae,nawapenda wote ila kuna culture hua ananimaliza pia lol!kiujumla mziki wa ragae ni ujumbe,hakuna ragae isiyo na ujumbe!
Upo sahihi kabisa!Lakini ukweli unabaki kuwa bob marley ni mwalimu wa lucky dube!
tafuta vitu vinaitwa mask, monster, your are the one, utapata depth ya lucky dube
Watu wengi hawajui kwamba Peter Tosh amemfundisha hata Bob Marley Muziki baada ya Bob kurudi Marekani aliwakuta wenzake Bunny na Tosh wameshakuwa Marasta na wanapiga muziki aina ya SKA. Tosh akamfundisha gitaa na akamuunganisha Bob na Rita Marley.
Thanks mkuu,maana hata ukisikiliza hata nyimbo za Dube zimekaa kihisia sana
Najilazimisha kuzipenda nyimbo za bob lakini wapi, luck dube is best 4 me
Naona Unatumia nguuvu nyingi katika kutofautisha Marekani na Haiti nani Zaidi... Jibu Utapata Marekani zaidi ni hivyo hivyo kwa Bob Marley na Luck Dube... Bob atakuwa juu au mshindi kwa kila idara za mziki wa Reggae ndio maana aliitwa Mfalme wa Reggae... Hata Kwenye Soccer Pele na Messi Pele atakuwa juu kumzidi Messi.... hiyo ndio hali halisi...
Radio One Walishajaribu kuweka Shindano kama Lako na Nani Zaidi Bob Marley akaibuka mShindi Luck Dube Album yake ya Kwanza na ya Pili Ndizo zilimuweka juu sana... hadi watu wakaona labda wamempata Mrithi wa Mfalme wa Reggae baada ya wakongwe wengine kuchemsha kama Alfa Blondy na Geogery Isaac kuweweseka...
Ukitaka kuwasindanisha tuende kwa vibao vyao.. Wimbo ulio Best kwa Dube ni Back to My Roots na kwa Bob naweza Sema ni Natural Mystic sasa ukienda head to head mwishowe Bob anakuwa mshindi kwa Point nyingi hivyo tafuta mwenye level ya Bob japo hajapatikana kwa head to head. pole Sana.....
Vibao vya Bob Vingi ni vikali sana... Visikilize utambue...
Stiff naked Fool,
Buffalo soldier,
Rastaman Give Up, kitu hakuna kukata tamaa
Satisfy my soul,
Natural My stick,
Time will tell,
Jamming,
Kaya,
Jump Nyabighi,
Real Situation,
One Drop,
Stir it up, huu hata wasiopenda reggae hutabasamu kimoyo moyo
Comining from the cold, hichi kitu ni noma sana...
Easy Skanking, Tulizo haswa
Crazy Baldheads, Hii kitu ukisikiliza vyombo vinavyonyonwa nyongwa ni fantastic
Blackman Redemtion, kwenye album ya Confrontation yaani ni hatari tupu
Bad Card..
Tumuache Mfalme awe Mfalme... kumfananisha Bob na Dube ni sawa na TL Kumtukana Nyerere
ndio mziki huoMkuu tuweke hansadi vizuri.Peter Tosh alimfundisha Bob kupiga gitaa tu na sio mziki kama mziki.