Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 2,308
- 4,687
Labda ni falsafa ya kizembe TU kwamba Mungu alimuona shetani kama muasi ingawa Kuna malaika ambao waliyaunga mkono malalamiko ya shetani Mungu aliona ni Bora kumtupa duniani kuliko kumuua!!
Vipi angemuua wale malaika theluthi wangeendelea kuwa wapinzani wa Mungu ndani ya mbingu yenyewe!! Sio kila unaemuona kama adui adhabu yake ni kumuua ,wengine Huwa wanatupwa TU wakahangaike na maisha yao huko ,
Kama ni kweli kanisa la Gwajima limetupwa basi tujiandae Kwa jambo kubwa zaidi Kwa sababu wafuasi WA hili kanisa hawatakuwa Tena raia wakawaida bali watabadilika na kuwa kundi lenye uhasama na serikali ,kama Kuna mwenye hekima zaidi awasanue wasije kuwa wanaongezea njiti za kiberiti kwenye moto