Lucas Selelii ajiunga CHADEMA, kugombea Ubunge Nzega

Lucas Selelii ajiunga CHADEMA, kugombea Ubunge Nzega

Mwaka huu mtasifia mpama vilivyooza bado tibaijuka naye atakuja mjiandae kumpokea kifupi ni kwamba yale mafisadi yote yatakuja chadema.

unamjua Lucas?unazo kumbukumbu zake bunge la 6,weka Kumbumkumbe Kwanza Ndo Urudi,labda tuulize kwa nini kaja ukamandani leo na sio jana?ila jamaa ni noma
 
Tabora ni ngumu sana ina wafia magamba na elimu ni ndogo, panahitaji mtu mzoefu na aliyewahi kuwa ndani ya ccm kama lucas
 
Lakini huyu sijui kama ana mapenzi ya kweli na chama chetu.

Ninaanza kupata hofu na hili wimbi la hawa wanachama "chotara"-wenye damu ya CCM kwa wingi na kwa mbali wana damu ya CHADEMA.
Tupo Makini kipindi hiki kuli unavyo fikiria
 
Uongo,wapo na Kigwangala Nzega vijijini kupitia ccm wanaendelea na kujitanbulisha,soma pia mwananchi la jana
 
Lakini huyu sijui kama ana mapenzi ya kweli na chama chetu.

Ninaanza kupata hofu na hili wimbi la hawa wanachama "chotara"-wenye damu ya CCM kwa wingi na kwa mbali wana damu ya CHADEMA.
Lisije likawa jeshi la mafia la CCM limetumwa kuangamiza lakini ni haki yao kuhama kadri ya utashi wao wa kisiasa unavyowatuma. Cha msingi viongozi wa CDM kuwa makini na hao wageni kama walivyo m'treat' shibuda wembe uwe hivyohivyo mpaka watoke wenyewe..
 
Jamaa amechukuwa form ya ccm na amerudisha watachuana Kigwagwala Hamis kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi la jana.
 
Lisije likawa jeshi la mafia la CCM limetumwa kuangamiza lakini ni haki yao kuhama kadri ya utashi wao wa kisiasa unavyowatuma. Cha msingi viongozi wa CDM kuwa makini na hao wageni kama walivyo m'treat' shibuda wembe uwe hivyohivyo mpaka watoke wenyewe..

watakua makini vipi,wakati kila wakija mnawapa kuwania ubunge,kwahiyo wakija 100 mkawapa ubunge na wakapita,hiyo ni ccm B
 
So worried about these people from CCM kwa nini wakitoswa huko waje chadema kugombea? Kwani Chadema hatuna watu mpaka makapi ya ccm? Mwisho wa siku walewale wanarudi tena bungeni
 
Funga kazi ni next week ambapo Laugwanani atakapohama CCM na kwenda Chadema...ndio itafahamika sasa kama kuna goli la mkono au hakuna
 
Wewe uliye leta hii habr umefanya uchunguzi?, maana Selleli amechukua form kupitia ccm. Rudi kwa aliye kupenyezea, mwambie wamecrash habari hii.
 
ukawa kucheleeeeeee,funua nyeti za magamba kwa kimbunga
 
Wakuu, habari tulizozipata hivi punde ni kwamba, aliyekuwa Mbunge wa Nzega kisha akaangushwa na Bashe Katika kura za Maoni ila Kamati kuu wakampa Kigwangallah Ubunge wa zawadi, katimukia CHADEMA.

Ana mpango wa kujaribu kulitetea jimbo hilo kupitia chama hicho cha makamanda wakukomaa hadi kieleweke CHADEMA.
Selelii ameomba kugombea ubunge kwa ccm, ameangushwa kura za maoni? Mahaba na Chadema yameanza lini?
 
Back
Top Bottom