OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Safi Kama anaweza kulikomboa jimbo.
Hawezi kushinda kwa sababu mbili...
1. Anapogombea ni Nzega kijijini ambapo hana base na infact CCM bado inamizizi kijijini
2. Kwa Nzega mjini yupo Bashe. Kwa jinsi Bashe anavyokubalika hata Seleli aende na chama cha Democrat cha Marekani hashindi....