Lucas Selelii ajiunga CHADEMA, kugombea Ubunge Nzega

Lucas Selelii ajiunga CHADEMA, kugombea Ubunge Nzega

Nzega kuna makamanda tayari... hatutaki opportunists
 
Wakuu, habari tulizozipata hivi punde ni kwamba, aliyekuwa Mbunge wa Nzega kisha akaangushwa na Bashe Katika kura za Maoni ila Kamati kuu wakampa Kigwangallah Ubunge wa zawadi, katimukia CHADEMA.

Ana mpango wa kujaribu kulitetea jimbo hilo kupitia chama hicho cha makamanda wakukomaa hadi kieleweke CHADEMA.


Nadhani hakujua kuwa fisadi mkuu Lowasa naye atakuwa CHADEMA. Hawawezi kuiva kwa sababu yeye kutoka moyoni anaupinga ufisadi na hata kuanguka kwenye kura za maoni 2010 ni kwa sababu Lowasa alitumia pesa nyingi kuwashawishi wapiga kura za uteuzi hawampigii Selelii.
 
Hawezi kuwa team moja na lowassa huyo,ni chui na paka anachukia ufisadi na mafisadi
 
Nzega tumeshateua wagombea wetu wa ubunge tangu juzi, majimbo yote ya nzega mjini na vijijini

Hii habari ni fake
 
Chadema walisema hawapokei makapi kulikoni?
Sintokaa niwaamini chadema hawa ni walaghai tu.
 
msipende kututajia hilo jina la ccm mana wengine sasa tunazani ni kundi flani la kigaidi. UKAWA ndio habari ya mjini.


SITAWAANGUSHA
 
Politics is a dirty game in which every player know the rules but is not willing to follow them
 
Wakuu, habari tulizozipata hivi punde ni kwamba, aliyekuwa Mbunge wa Nzega kisha akaangushwa na Bashe Katika kura za Maoni ila Kamati kuu wakampa Kigwangallah Ubunge wa zawadi, katimukia CHADEMA.

Ana mpango wa kujaribu kulitetea jimbo hilo kupitia chama hicho cha makamanda wakukomaa hadi kieleweke CHADEMA.

Anakaribishwa huyo maana tayari keshajifunza ugumu wa maisha
 

Attachments

  • 1437924537613.jpg
    1437924537613.jpg
    16.4 KB · Views: 321
Madhara ya kukosa ruhusa ya mgombea binafsi, watu wanalazimika kuingia hata vyama wasivyokuwa na mapenzi navyo! Itaumiza pande zote - anakotoka na anakokwenda.
 
Jamani utaratibu wa picha naona hata hauzongatiwi tena, tutaaminije sasa.
 
Nikweli ama naota?

Huyu ni yule aliyekuwa mmoja wa mitume 12? Wa bunge la Mr 6
 
Kiinua mgongo cha Mil 230 kiawaibua hata wastaafu wanautaka tena ubunge....


Hata hivyo tunamkaribisha kwenye ukombozi wa pili wa nchi yote..... Nashauri asipewe nafasi yoyote ya kugombania kama tuna mtu, kama hakuna mtu aliyeandaliwa tunaweza kumfikiria...
 
Hii hadithi ni ya uongo.seleli ametia nia kugombea jimbo la nzega vjijin kupitia ccm au kijani.akiwania hiyo nafas na kigwangala.wote inasemekana wamemkwepa bashe.ambaye anawania nafas kupitia ccm pia ila jimbo ni nzega mjini.
 
Chadema wamempa nafas mgombea wao anaitwa charles mabula nafas ya ubunge nzega mjini
 
Back
Top Bottom