Bigboot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 310
- 77
Chadema wamempa nafas mgombea wao anaitwa charles mabula nafas ya ubunge nzega mjini
Heeeee mzee meza je
Chadema wamempa nafas mgombea wao anaitwa charles mabula nafas ya ubunge nzega mjini
huyu ndio amefia siasani akingali mdogo sananadhani watu watakuwa wamejifunza kutokana na mifano km iyo yakina shibuda na wengine waliojifanya undumila kuwili kujipendekeza ccm ....nini kimewakuta? Cheyo, mrema zitto maana wananchi wanaona
Waje wajeee kwenye chama cha ukombozi wa kweli P e e e e op l e ess POWER