Lowassa 'yu hoi' Monduli

watu wengine wanadhani mambo ni rahisi sana... hivi unamjua lowassa wewe??

Acid:
Kumbuka upepo wa kisiasa wakati mwingine huja kama kimbunga. Wakati kikwete anapitishwa na CCM pale DOM nani aliyejua kuwa atapata upinzani mkali kama anaokabiliana nao sasa hivi kwa Dr. Slaa.

Upepo umebadilika nchi nzima na hii yote ni kwa neema ya mwenyezi mungu baada ya kumleta mbele Dr. Slaa. Wewe ni shuhuda alivyotikisa nchi hadi dkt(feki) Kikwete hapati usingizi

Kama mto wa mbu wameshusha bendera za CCM ambako hata mimi najua ndo ngome ya Lowasa ni mafanikio makubwa sana.

nakubaliana na wewe sana tu, jehuo upepo umeshazidi nguvu ya jamaa?? tusiweke unrealistic expecations badae tukawa disillusioned
 
Nguvu zinaelekea kupungua hasa pale strategies zake zinaendelea kufail.
 
nimependa spirit yako, basi isiishie kwenye JF... vipi jimbo la monduli lina kata ngapi? na CHADEMA inategemea kuchukua viti vingapi vya udiwani?

inakata 18 na CHADEMA tumesimamisha madiwani kwenye kata za uhakika za ushindi 5
 
Mbona hapa kwa Loh-hasa mna-comment kwa ukali hivyo, shusheni pumzi tujadili mada jamani, haya kuitana dogo, sijui nani tena vile hapa si mahalipake jamani, hakuna mwenye pumba wala pointi bali ni mawazo tu, na mawazo yako sil lazima yakubaliwena kila mtu. ameeleza alichokiona hukoo umasaini sasa na wewe kama uko huko toa hoja. Asanteni, haya turudi kwenye mada sasa, atapita au hatapita? ni kweli za ccm Zimeshushwa zimetundikwa za chadema hizo nanihii, nini vile?? Bendera???
 
:A S thumbs_up: Inaonekana jamaa anatisha watu wamekata tamaa kabisa mpaka kumkabidhi jimbo maisha!
 
I like that spirit Dotto! Lowasa is made of flesh hawezi kupambana na nguvu ya umma! Hakuna kitu nilikuwa naogopa kama Tingatinga but where is he now? Wananchi wakishaanza kung'amua na kufunuliwa ukweli, that giant of a man will perish soon or later. Usikate tamaa kwani the wind of change is sweeping across the country!
 
lowassa aandaa hujuma za kuhujumu chadema kwenye mkutano wake unao tarajiwa kufanyika atakapo wasuli mgombea urais wa chadema dr slaa kwa kutoa sh 20000/= kwa kuwapakia na kuwapeleka sehemu anayeifahamu yeye, kabila la kimasai la stukia mchongo huwo na wameanza kuwaita vijana wake wa kimasai na kuwaonya
 
Acid bwana, inaonekana Lowassa anakutisha sana, ni kweli si rahisi kwa fisadi kama yeye kukubali kirahisi kushindwa na ikitiliwa maanani kuwa fedha za kifisadi na jazba kibao zipo.. lakini kwani yeye nani isiwezekane bwana.. acha kukata tamaa bwana, statement yako kidogo ina onyesha ku give up!!!

thats the spirit,hawa jamaa mkiwa mnawaogopa ndo wanazidi kujiona Miungu
 
inakata 18 na CHADEMA tumesimamisha madiwani kwenye kata za uhakika za ushindi 5
thansk kwa kuweka ukweli, sasa tano kati ya 18 ni ngapi pasenti?

ukumbuke kwamba huwezi kung'oa mbuyu kama unavyongoa muhogo, basi lowassa ni mbuyu na kung'oa kungeanzia hiyo level ya udiwani ili kupunguza influence yake kwenye periphery (kama unaweza)

Binafsi siipendi CCM lakini sidhani kwa hamu na ushabiki unaweza kuitoa... tungehangaikia vinavyowezekana, lakini kwa huyo baba bado sana...

CHADEMA wamefanya vizuri sana hadi sasa, wanapiga kunakopigika
 
ZINGATIA MADA YANGU KUU ILKUWA INASEMAJE , THEN NDIYO USHUSHE HOJA ZAKO, nilisema yakuwa jamii ya kimasai imemkataa lowassa kwa kuiabisha jamii hiyo mkuu kuhusu hawa madiwani kule monduli walisema kata hizo tano tulizo simamisha wagombea ni wale ambao walikuwa wakifanya madudu na lowassa wao, ila hawo wengine walikuwa wakipingana na lowassa mkuu, ndiyo maana tukafuata kauli za jamii za jimbo hilo waka sema hawamtaki lowassa na madiwani hawo wabovu
 
mhhh hii ya Lowassa nakaa kimya.maana jamaa hili lina mbinu za kifashisti sana

Huyo EL hata mwl.Nyerere hakumpenda sana kwani alipo pewa ukatibu wa CCM Taifa akagoma na akakataa katu kuwa katibu wa CCM_Taifa ati hawezi kumbe alikuwa amelenga Urais we wew we Nyerere akamwambi kijana wewe si ulisema bado mdogo huwezi kukiongoza chama leo hii unataka urais khaaa upuuuzi mtupu alaaaah hapana alikuwa mpole kama maji ya mtungini, nashangaa leo yeye ndie kinala wa mambo yote na ndio maaana wananchi wana maswali mengi juu yake kwanza nasikia ukiambiwa pesa aliyo nayo je anahitaji nini kwenye siasa hatujui na humo ndani ya CCM ndipo kabisa wazee wale wakongwe wa CCM hawataki kabisa kumsikia EL wanajua nae ndio no.1 kichefuchefu ndani ya CCM

Origin yake ni Baba Mmeru na Mama yake Masai jina la EL halipo Umasaaini navyo jua kabisa

Asubili mtoto wa sokoine akirudi ndio mwisho wake si alifanya njama akapelekwa huko USA ile aendeleee kula rasilimali za wa TZ na wana Monduli 2015 asitegemeee Urais huku kanda ya ziwa twamuweka Magufuli tuone kama huyo EL au Membe atafua dafu huo ndi mkakati wetu

Lowassa hamna kitu. Siku si nyingi mwisho wake utafika.

Sintashangaa Slaa akamshughulikia na kesi ya EPA & Richmonduli.

Walianguka Warusi na Unyama wao, itakuwa Lowassa?

Ogopa sana Nguvu ya Umma na Mshikamano.
 
Kwa swala la kusimamia maendeleo Jimboni, Lowasi ni nambari wani; kumwondoa kwenye ubunge kupitia sanduku la kura, watu wa Monduli hawawezi kufanya hilo asilani.
 
"Lowassa yuhoi Monduli" if you believe that, you'll believe the moon is made of green cheese!
 
Back
Top Bottom