Lowassa 'yu hoi' Monduli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa 'yu hoi' Monduli

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Henry Kilewo, Oct 16, 2010.

 1. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #1
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Katika kile kinacho semekana ya kuwa utabiri wa kweli unatimia umeanza kujionyesha dhahiri huko jimbo la monduli anapotoka fisadi lowassa,

  mapema juzi kijiji kimoja na vya jirani alimaarufu kama mto wa mbu, kijiji hicho na vya jirani siku za nyuma vilikuwa ni ngome kuu ya lowassa laki ya kustaajabisha baada ya kamanda wa CHADEMA mgombea ubunge wa jimbo hilo kwenda kuhutubia na kumwaga sera za uhakika na si longo longo

  kijij kizima kikashusha bendera za ccm na kupandisha za chadema na wanakijiji hawo kuapa ya kuwa lowassa asitegemee kupata kura hata moja kutoka kijiji hicho na vijiji vya jirani,

  lowassa alivyo pata habari akatuma timu yake pamoja na yeye mwenyewe wakaenda pale, yaliyo mkuta lowassa hakuamini baada ya baadhi ya jamii ya kimasai kupandisha morali huku wakisema unatuaibisha jamii ya kimasai ndiyo maana tunakuhisi yakuwa wewe siyo mmasai,

  nibora tukaongozwa na mtu tunayejua kuwa simmasai kuliko kuwa na imani kuwa tunaongozwa na masai wmenzetu kumbe pandikizi kwa hali hii ulivyo liaibisha jamii ya kimasai sasa basi hapa no CCM hapa ni ile chama ya ule mtu inaitwa SLAA (CHADEMA) wewe ondoka tu hapa kabla haja kukuta mengine,

  masai wakakaa waka chagua mtu wao mmoja kwajili ya kupiga kura kwa CCM ili wasije wakasalitiana wengi wapiga naasijulikane nani kafanya hivyo,

  so kwasasa bendera za chadema ndizo zinazo pepea maeneo hayooo........ WAO WANA HELA sisi CHADEMA TUNA MUNGU.... MPAKA KIELEWEKE
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  watu wengine wanadhani mambo ni rahisi sana... hivi unamjua lowassa wewe??
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  PROVERB 16: 9 You may have your plans but GOD directs your action.

  Siku zote Monduli Lowasa alikuwa hakubaliki lakini mchanganyiko wa rushwa, viapo vya kuwafunga wapigakura na upinzani kukosa mgombea Uraisi mwenye mvuto kwenye jamii kumechangia njemba hii kutesa huko.

  Lakini sasa kuwemo kwa Dr. Slaa kumebadilisha upepo wa Nchi nzima na Lowassa, Mramba, Chenge na Rostam Aziz wote safari wapigakura watawakataa.
   
 4. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #4
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  wewe acha kuongea pumba anaye mfahamu lowassa ni mke wake na familia yake hapa tunaongelea mstakabali wa maendeleo ya taifa letu na mustakabali ya watu anao waongoza na sisi kuongea propaganda na ni wapiga kura wake ndiyo wamemkataa then tofauti 2005 na 2010 ni vitu viwili tofauti .............. Wananch wamechoshwa

  kuongozwa na mafisadi wa rasilimali zao then wanapigiwa kampeni wapitishwe tena dic time kamanda hapa monduli lowassa hana chake
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  dogo sikiliza, tena sikiliza sana

  mambo ya mke na familia, tuna jukwaa kule, karibu sana... i am talking about politics and uchaguzi to be specific.. mimi si wewe unayejadili mpita njia ukiwa selo.. you hvae to get out to see the sunlight!!

  Lowassa ni zaidi ya unavyomjua, wenye akili timamu wanaelewa... kumuangusha ni zaidi ya mto wa mbu... ningekua naongea na kuwaza unavyowaza, basi tungekua na nchi mbaya zaidi ya hapa

  you must learn to appreciate capability ya mtu kabla ya kuweka mabandiko udhaniayo... kwenye primaries tuliambiwa kakaliwa koon, akachapa over 90%... he is powerful and capable of using vinavyoonekana na visivyoonekana. FYI, hata rafiki yangu lema pale arusha, kama isingekua lowassa basi angeanza kusherehekea ushindi

  Una jina zuri lakini huendani nalo
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mhhh hii ya Lowassa nakaa kimya.maana jamaa hili lina mbinu za kifashisti sana
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mkuu usemayo yana ukweli ndani yake maana namjua LOWASA mzee wa hulka na mtandao mkubwa. Namjua Lowasa ana mapandikizi mengi kuanzia ccm, serikalini mpaka kwenye vyama vya upinzani. anatumia nguvu ya fedha zetu alizokwapua kiujanjaujanja.
  Inabidi kuwepo na master plan njema ya kuangusha mbuyu ili tusionekana kana kwamba tunafyeka msitu kwa kiwembe.
  Lete plan basi nini kifanyike kumtoa huyu fisadi anayedhani watanzania wanampenda
   
 8. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Acid bwana, inaonekana Lowassa anakutisha sana, ni kweli si rahisi kwa fisadi kama yeye kukubali kirahisi kushindwa na ikitiliwa maanani kuwa fedha za kifisadi na jazba kibao zipo.. lakini kwani yeye nani isiwezekane bwana.. acha kukata tamaa bwana, statement yako kidogo ina onyesha ku give up!!!
   
 9. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #9
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  wewee acha kukatisha makamanda tamaa LOWASSA NI LOWASSA hawezi kushindna na nguvu ya umma na kuhakikishia mwaka huu ni mwaka wa mabadiliko ya kweli na lowassa hachomoki monduli kama jina linakuogopesha ni wewe na vibaraka wako tulipo sema ukombozi wa kweli

  hatukuangalia tunaanza nanani, tuliangalia mustakabali wa taifa nzima so usilete maneno yako mepesi kwenye majibu mgumu ambaya tumekwisha amua,,,, sawa kamanda nadhani umenielewa kama bado njoo monduli ujionee hali halisi na siyo jina,

  majina tunayo toka enzi na enzi kama we nikamanda weka jina lako live kama mimi , mukiitwa vibaraka mnakataa wakata muda unawahukumu, lowassa fisadi tupa kulee, kamuelezi KAMANDA KILEWO ANASEMA MWAKA HUU AMAZAKO AMA CHADEMA ILA` JIMBO HUCHUKUI
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hao mafisadi watashinda ila kwa tofauti ndogo sana
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mkuu... nashukuru kunipa nafasi... unajua ukisoma post number 1, utadhani kazi imeisha

  lakini cha maana hapa ni kukusanya nguvu, lowassa was not built in a day and will not go down kirahisi... kama kuna nia ya dhati, basi ni kuanza kukamata viti vya mwdiwa, wanampa sana nguvu kwani, ikiisha hiyo ndio kupanda juu
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  nimependa spirit yako, basi isiishie kwenye JF... vipi jimbo la monduli lina kata ngapi? na CHADEMA inategemea kuchukua viti vingapi vya udiwani?
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  soma signature yangu utanielewa

  a good winner lazma awe strategist, its not one size fits all kama tunavyodhani
   
 14. doup

  doup JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  nafikili Slaa amerizie kampeni katika jimbo hilo kummliza kabisa huyu jamaa
   
 15. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  very good,
   
 16. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Heshima kwako Acid,

  Mkuu wapo baadhi ya wanajamvi wanpenda kuleta habari za kufurahisha.Mkuu jimbo la Monduli ni mali ya Lowasa kama tunataka kufurahisha jamvi sawa.
   
 17. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #17
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Yana mwisho haya, Lowasa atakwenda na maji kama tu watu wale kule Monduli wataeleweshwa na kuelewa, wataelimishwa na kuelimika. Nani alitaraji mzee wangu Malecela Kuwa nje ya Jukwaa la Ubunge muda huu. na mikakati yake yoote, na ukongwe wake woote, TingaTinga likaangushwa na bajaji. chaaali.
   
 18. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Shoka moja mbuyu chini...and that was the tingatinga story...
   
 19. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  BRAVOO watu wa Monduli
   
 20. d

  dotto JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  .... siafu aweza ua Tembo. Hitler alilala mbele. Amin alilala mbele. Mabutu alilala mbele.Kaburu S.A aliachia ngazi. YOTE HAWEZEKANA. HAKUNA LISILOWEZEKANA MBELE YA HAKI............ Amini hivyo.... Lowasa ni Binadamu hana dhamana na anachowaza mtu rohoni.....
   
Loading...