watu wengine wanadhani mambo ni rahisi sana... hivi unamjua lowassa wewe??
nakubaliana na wewe sana tu, jehuo upepo umeshazidi nguvu ya jamaa?? tusiweke unrealistic expecations badae tukawa disillusionedAcid:
Kumbuka upepo wa kisiasa wakati mwingine huja kama kimbunga. Wakati kikwete anapitishwa na CCM pale DOM nani aliyejua kuwa atapata upinzani mkali kama anaokabiliana nao sasa hivi kwa Dr. Slaa.
Upepo umebadilika nchi nzima na hii yote ni kwa neema ya mwenyezi mungu baada ya kumleta mbele Dr. Slaa. Wewe ni shuhuda alivyotikisa nchi hadi dkt(feki) Kikwete hapati usingizi
Kama mto wa mbu wameshusha bendera za CCM ambako hata mimi najua ndo ngome ya Lowasa ni mafanikio makubwa sana.
nimependa spirit yako, basi isiishie kwenye JF... vipi jimbo la monduli lina kata ngapi? na CHADEMA inategemea kuchukua viti vingapi vya udiwani?
Mbona hapa kwa Loh-hasa mna-comment kwa ukali hivyo, shusheni pumzi tujadili mada jamani, haya kuitana dogo, sijui nani tena vile hapa si mahalipake jamani, hakuna mwenye pumba wala pointi bali ni mawazo tu, na mawazo yako sil lazima yakubaliwena kila mtu. ameeleza alichokiona hukoo umasaini sasa na wewe kama uko huko toa hoja. Asanteni, haya turudi kwenye mada sasa, atapita au hatapita? ni kweli za ccm Zimeshushwa zimetundikwa za chadema hizo nanihii, nini vile?? Bendera???
Acid bwana, inaonekana Lowassa anakutisha sana, ni kweli si rahisi kwa fisadi kama yeye kukubali kirahisi kushindwa na ikitiliwa maanani kuwa fedha za kifisadi na jazba kibao zipo.. lakini kwani yeye nani isiwezekane bwana.. acha kukata tamaa bwana, statement yako kidogo ina onyesha ku give up!!!
thansk kwa kuweka ukweli, sasa tano kati ya 18 ni ngapi pasenti?inakata 18 na CHADEMA tumesimamisha madiwani kwenye kata za uhakika za ushindi 5
tofautisha kuogopa na kujipanga... chadema haiogopi, bali inajipangathats the spirit,hawa jamaa mkiwa mnawaogopa ndo wanazidi kujiona Miungu
thansk kwa kuweka ukweli, sasa tano kati ya 18 ni ngapi pasenti?
ukumbuke kwamba huwezi kung'oa mbuyu kama unavyongoa muhogo, basi lowassa ni mbuyu na kung'oa kungeanzia hiyo level ya udiwani ili kupunguza influence yake kwenye periphery (kama unaweza)
Binafsi siipendi CCM lakini sidhani kwa hamu na ushabiki unaweza kuitoa... tungehangaikia vinavyowezekana, lakini kwa huyo baba bado sana...
CHADEMA wamefanya vizuri sana hadi sasa, wanapiga kunakopigika
mhhh hii ya Lowassa nakaa kimya.maana jamaa hili lina mbinu za kifashisti sana
watu wengine wanadhani mambo ni rahisi sana... hivi unamjua lowassa wewe??