SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,081
- 75,446
Hii movie mbona inachelewa kuanza jamani?
Mwaga ugali urudishe heshima yako iliyogalagazwa kwanini uaibishwe kwa manufaa ya watu?? Mwaga mwaga tuone wenzio wameshamwaga mboga wewe unangoja nini??
Imekula kwenu si mlijifanya wajanja kuwaibia waTz sasa mnaibiana wenyewe. Lowassa songa mbele, bora mkose wote ili waTz tupate.Mimi nadhani Lowassa kama Mwanasiasa mkongwe alitakiwa a-step down tu, kwasababu system haimtaki tena kwasababu kaichafua. sasa akimwaga ugali yeye itamsaidia nini? afanye kitu ambacho kitamfanya arudishe heshma yake na siyo kuwa na "moyo wa tukose wote"
Kwakweli inachelewa mkuu!Hii movie mbona inachelewa kuanza jamani?
Wanafanya lobbing gani badala ya kujivua gamba straight?...........Watakuwa wanafanya kujisafisha mbele ya viongozi wa ccm, ili wabaki na gamba lao...!.......Kwangu mimi whether watajivua, au whether watabaki nalo yote ni mema tu!
we ezan nikutukane ? kama kweliunamaanisha hivi wewe akili yako iko matakoni. kama hujamaanisha basi haya nmatusi hajakustahili wewe.
ngoja nikuulize yale yakiyotokea misri ni kwa sababu mubarak ni mwislam au ni mkristo?au wale wanaoandamana kule bengazi wote ni wakristo?
usiongee kama vile umekalia gunzi[/QUOTE]
Matusi hayoo