Lowassa: Wakimwaga mboga namwaga ugali

Lowassa usikubali komaa naye bora muumbuke wote

Mwageni bwana ili wote mkose pasu kwa pasu, hiyo ndio safi, vinginevyo mtakuwa kondoo wa sadaka. halafu waanze tangu enzi za EPA. Sio dowans tu, na CCJ.:smow:


avatar34946_2.gif
 
we ezan nikutukane ? kama kweliunamaanisha hivi wewe akili yako iko matakoni. kama hujamaanisha basi haya nmatusi hajakustahili wewe.
ngoja nikuulize yale yakiyotokea misri ni kwa sababu mubarak ni mwislam au ni mkristo?au wale wanaoandamana kule bengazi wote ni wakristo?
usiongee kama vile umekalia gunzi

Kaka umenitukania viungo vyangu vya haja kubwa bila kosa lolote, haya siyo maneno yangu ni ya baadhi ya viongozi wa Kiislam ambao mimi nawaheshimu sana, na naamini kila wanachokizungumza wamekifanyia kazi. Au hukumbuki hili tamko lilitolewa na nani?
https://www.jamiiforums.com/editpost.php?p=2045405&do=editpost
 
Kwani kuna kitu Lowasa kafanya cha ajabu bila presidaa kushirikishwa,kama vp na presidaa apewe barua ajivue gamba.
 
mheshmiwa sana mbunge wa monduli umechelewa sana fanya kumwaga sasa hivi muda ndio huu vinginevo kubali kuwa bangusilo (mbuzi wa kafara) lakini kwa ajli ya Tanzania ya kesho mwaga sasa hivi ili uache LEGACY
 
akimwaga magamba wenzie wataokota anatakiwa atafute sehemu ya kumwaga huo ugali kwanza:pound:
 
Kaka umenitukania viungo vyangu vya haja kubwa bila kosa lolote, haya siyo maneno yangu ni ya baadhi ya viongozi wa Kiislam ambao mimi nawaheshimu sana, na naamini kila wanachokizungumza wamekifanyia kazi. Au hukumbuki hili tamko lilitolewa na nani?

Ezan! Ezan! Ezan! Ezan!
Wakati mwingine uwe makini kutambulisha sources za taarifa zako na weka wazi msimamo wako, ukiweza kufanya hivyo utaepuka usumbufu wa kujitakia! Pole sana, by the way where do you stand?
 
Hata mimi nitamchagua Kikwete iwapo atashindanishwa na Pinda.

TIh tih tih hii kali,iv Pinda yuko wapi cku iz mbn kmya laana,mara ya mwsho kumskia ilkua bungen alaf saio kaunga njama na kura za chadema,ama ndo wamemfix
 
I will give my vote to lowassa if he vies for presidency!

Lowassa is the only strong man tanzania needs to be able eliminate poverty immediately, japo kikwete alimwogopa ndio maana alimtosa kiaina, jk we jifanye mhuni tu, alijua kabisa kwamba lowassa hana doa la ufisadi, na lingekuwepo asingejuizulu kwa uwoga, lakini miaka mingapi tangu ajiuzulu na hamna aliyedhibitisha kuwa alilipwa na richmond? ndio kwanza tunaambiwa kumbe richmond haijapewa bado pesa, sasa wanagombania nini? mikataba iliyosainiwa na serikali? sasa si ilikuwa ajiuzulu na kikwete basi?
 
Kifo cha wengi ni harusi Lowassa wakiweka gogo weka kipande cha reli mbwayimbwayi maziwa yashingia damu hata uchuje vipi hayawezi kuwa meupe tena!
 
baa ya tabasam nyingi za kikwete sasa tunamhitaji kiongozi mkorofi na tough kwelikweli, tanzania inahitaji speed ya kufa na kupona sasa, tumeshaachwa na dunia nzima, sasa tumwombee Mh Edward Lowassa au Mh Wilbrod Slaa, hawa ndio wanaweza kuleta maendeleo ya haraka na bila show ovyo, tunahitaji viongozi hawa waliokaa kama Kibaki na Odinga ambao sijawahi kuwaona wakicheka, na ni bora tuwaogope mpaka aingie Lowassa au Slaa, tusidhubutu kumchukua kikwete mwingine mcheshi
 
Lowassa hawezi kamwe kuwa raisi, jiulize ni kwanini alijiuzulu uwaziri mkuu kwanza.
 
Huo si utawala wa sheria hata kidogo!
Kama Lowasa, RA na Chenge wana makosa basi makosa yao yawekwe adharani na pia ushahidi uperekwe mahakamani ili wapate haki yao; mahakama ndicho chombo cha kuprove mtu kuwa gilty! Lasivyo wanaonewa kwasababu ambazo Kikwete ndio anazijua mwenyewe.

Mbona Yona na Mramba walishtakiwa kwa makosa yao bila kufukwa chamani! Kama mahakama ita-prove kuwa wao wanamakosa ndipo chama kiwafukuze, hapa CCM iache kiini macho kwa kutaka kubambikiza watu watatu tu uchafu wote wa chama. Hivi katika nchni hii ukiibia taifa adhabu yake ni kufukuzwa katika chama? na Je ni hao watatu tu! kwanini hawapewi nafasi ya kujitetea na kwanini hakuna chombo kinacho tekeleza haki juu yao! wanahukumiwa kwa vigezo gani? mbona hawaperekwi mahakamani kama kweli ni mafisadi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom