Songoro
JF-Expert Member
- May 27, 2009
- 4,122
- 1,017
tatizo lao ni wapo kwenye kinyang'anyiro kikaaali kati yao miaka michache ijayo,kaa mkao wa kula.
Rais ajaye hatatoka kusini!
tatizo lao ni wapo kwenye kinyang'anyiro kikaaali kati yao miaka michache ijayo,kaa mkao wa kula.
Ninadhani huu ni muda muafaka wa kuacha majadiliano haya yasio na maana ya kudai kila siku nani atakuwa rais tz tena wa miaka 4 ijayo kwenye siasa siku mbili tu nyingi sana.Rais ajaye hatatoka kusini!
Mnyisanzu, kwanza hakuna ugomvi wowote kati ya watu hawa bali wanatofauti tuu katika comon interest ya urais wa 2015.
Kuna viongozi ambao ni born leader na made leader. Membe ni made leader na Lowassa ni born leader. Made leader anammaind born leader!
Kwa vile Ben alikuwa foreign na akawa rais, then JK alikuwa foreign akawa rais, Membe anaamini sasa ni zamu yake maana yeye ndiye yuko foreign!.
Lowassa was born to lead kutukomboa Watanzania!. Uwezo wa Membe mnaujua?. Ni afadhali ya JK mara mia!. Kama JK ndio ametufikisha hapa!, Membe si ndio atatuteketeza kabisa!. Hapa mtu ni EL tuu!.
Aisee sikuijua hiii kuwa ni mtu na mdogo wake. Asante kiongozi
Pasco,Mnyisanzu, kwanza hakuna ugomvi wowote kati ya watu hawa bali wanatofauti tuu katika comon interest ya urais wa 2015.
Kuna viongozi ambao ni born leader na made leader. Membe ni made leader na Lowassa ni born leader. Made leader anammaind born leader!
Kwa vile Ben alikuwa foreign na akawa rais, then JK alikuwa foreign akawa rais, Membe anaamini sasa ni zamu yake maana yeye ndiye yuko foreign!.
Lowassa was born to lead kutukomboa Watanzania!. Uwezo wa Membe mnaujua?. Ni afadhali ya JK mara mia!. Kama JK ndio ametufikisha hapa!, Membe si ndio atatuteketeza kabisa!. Hapa mtu ni EL tuu!.
"Alhaj" Membe na "Jumanne" Malecela si wa kuaminika hata kidogo!
Ndugu yangu Kiungani, heshima ni muhimu sana. Alhaj Membe na JK sio mashemeji. Ni watoto wa baba mmoja mama mbalimbali.
Baba yao ni muislam, Mama wa JK ni muislam, mama wa Alhaj Membe ni mkristo mkatoliki, tena alikuwa sister. Mama wa Membe alipatwa na Mzee K, alipokuwa hapa DSM, akagoma kuolewa akaenda kwao huko Lindi.
JK alipohamishiwa Lindi kukazi akamtafuta mdogo wake na kuanza kumpromoti na anataka kumrithisha kiti cha Urais.