Habarini wanajamvi
Humu ndani zimetokea mada za kila aina za kumchafua EL, lakini kikubwa ni mara baada ya kuhama CCM ndio zinaibuka mada hizo, eti mara Lowasa mgonjwa, fisadi.Hivi nyie mnaondika hizo mada za kila aina mnazani kumbadilisha mtu mzima Mwenye akili zake timamu anayejua kusain in na out hapa Jamii forum kama mimi mnaweza kumbadisha mawazo?.Hata muongee nini kura yangu ni kwa Lowasa tu.Labda hizo mada zenu mkawadanganye wanakijiji.
kijijini wameamka, ccm imekuwa ukoma kwao.