mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 960
Lowassa alimaanisha watachukua NCHI YA RULA kupima kura watakazopata karatasi za nusu nchi tu
bao la mkono ndio litakalo leta machafuko
MUSSA ALLAN; Sasa hivi unachezea timu gani mwenzetu? Sikuoni ukiimba wimbo wa kijani!. Umekosea tyuni au una maanisha? Nifungue Mkuu.
Kila mkoa, wilaya, kata, vijiji, vitongoji na mitaa iliyopo Tanzania vimeshindwa kuhimili mafuriko ya bwana mamvi. Yaani kifupi ni hivi kila pembe ya Tanzania kumetapakaa mafuriko ya Lowasa.
Habarini
Watanzania wezangu niwaombe tuipe ukawa miaka 5 tuone nchi yetu itapiga hatua kwa kiasi gani maana tumevumilia miaka 54 ila bado tuna hali ngumu ya kimaisha kwa sasa hebu tubadilike mwaka huu tuelimishane nyumba hadi nyumba ili kuhakikisha watu wanapiga kura ili kuondoa ccm miaka mitano hii.