Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

Ni furaha ilioje unaamka tar, 26 habari ya kwanza ni anguko la CCM.
Kiuhalisia itakavyokuwa, tarehe hiyo nec hawatakuwa wametangaza matokeo ya urais. Lakini tetesi zitasema ccm imelala chali.
Hapo ndo ntachinja wale ng'ombe wawili madume kusherehekea kifo cha shetani aitwaye ccm.
 
Hakuna kubisha baada ya ibada ya kwanza ccm watakuwa chali tuliweke hili kwenye nia za misa
 
Kiuhalisia itakavyokuwa, tarehe hiyo nec hawatakuwa wametangaza matokeo ya urais. Lakini tetesi zitasema ccm imelala chali.
Hapo ndo ntachinja wale ng'ombe wawili madume kusherehekea kifo cha shetani aitwaye ccm.

Nyinyi mnajifariji na sijui mkija kuanguka ktk uchaguz wengi wenu mtakufa na BP
 
Wanajamvi ni ukweli usiopingika UKAWA imebadili upepo wa siasa za Tanzania,kauli za Kikwete kuwa CCM inaweza ng'oka na ile aliyotoa kuwa zile nyakati za kusema mgombea yeyote atakaye pitishwa CCM atashinda zimepitwa na wakati ,Escrow,operation Tokomeza,mikataba mibovu ya wachina,mauaji ya albino,ununuzi wa mabehea fake,UDA nk ni issues zinaweza kuinyima kura.

Ukuaji wa technology(access to information),uelewa wa wananchi ni mkubwa ukilinganisha na miaka 5 au 10 iliyopita,uteuzi wa mgombea urais (Magufuli) na mgombea mwenza (Samia Suluhu) wasio na ushawishi kwa wananchi,makundi mbali mbali ya kijamii,,ubadhirifu binafsi wa familia ya Kikwete ni doa kwa CCM.

CCM ijiandae kisaikolojia
.
 
Mkuu umesahau kitu muhimu sana kwa watu wa kusini " mauaji ya wananchi wa mtwara na ubakaji wa dada zetu".
 
Si mlijifanya mnajua kukata?????!!!!!!!!!!!! kitengo si kilijifanya kinajua kukata?????!!!

Sasa tulieni tuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Tufanye yetu! Kufanyaje?! Kuwakateni!

Mchezo bado unaendelea, endeleeni kufuatilia!
 
Leo ni Day one, hatujazindua kampeni bado! Mafuriko ni makubwa! Sasa jiulize tukifika Day 30 itakuaje???!!!

Mchezo bado unaendelea, endelea kufuatilia mchezo!
 
Si mlijifanya mnajua kukata?????!!!!!!!!!!!! kitengo si kilijifanya kinajua kukata?????!!!

Sasa tulieni tuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Tufanye yetu! Kufanyaje?! Kuwakateni!

Mchezo bado unaendelea, endeleeni kufuatilia!

Kwakwakwkakkaaa hii ni fursa adimu kuwakata na kuwachinja
 
Bila shaka ccm hawakutegemea kilichotokea na nape juzi tu alikanusha kwamba sumae hatahama. Ziadi nafikiri kiburi cha viongozi wa ccm na kujiamini kupita kiasi kutawapa matokeo hasi tarehe 25
 
Back
Top Bottom