Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,842
- 10,765
Habarini
Watanzania wezangu niwaombe tuipe ukawa miaka 5 tuone nchi yetu itapiga hatua kwa kiasi gani maana tumevumilia miaka 54 ila bado tuna hali ngumu ya kimaisha kwa sasa hebu tubadilike mwaka huu tuelimishane nyumba hadi nyumba ili kuhakikisha watu wanapiga kura ili kuondoa ccm miaka mitano hii.
Labda tuwape ACT maana ndio wapinzani halisi waliobaki