Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

Sisi wapenzi wa Chama cha Mapinduzi sasa ni vyema tukakueleza wazi kuwa nchi inakwenda kwa UKAWA kutokana na kutokuwa na demokrasia katika kuchuja watia nia wa Urais. Kila kona tukivaa nguo zetu za kijani hasa Kariakoo wanatukejeli na matusi juu. Mhe. Mwenyekiti chukua hatua haraka kwa wale walioenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha Urais mkae pamoja na kuyamaliza tofauti. Bado wana bifu moyoni. Usiwaone wanacheka lakini moyoni ni chuki dhidi ya Chama chetu.
 
Mtanzania unapaswa kujisikia mwenye bahati, mbarikiwa sana kwa kushuhudia uchaguzi mkuu 2015!

Ni mchezo mzuri na mtamu kuwahi kutokea katika ulingo wa siasa za Tanzania!

Masters of the game wanadhihirisha uwezo wao! Jione mwenye bahati sana!

Mchezo bado unaendelea, endelea kufuatilia mchezo! Tupo Day one!
 
Kwanza hii ya leo tu ya Tluway Sumaye imewaacha midomo wazi

Kimyaaaaaaaaa.

Daaadeki zao
 
. #Mabadiliko2015 - "hakuna mtu ambae anaweza kufunga nadhiri na chama cha siasa"- Fredrick Sumaye

#Mabadiliko2015 "sina tatizo na mgombea wa CCM,
Nina amini akuhonga na anachapa kazi,japokua ana mapungufu mengi katika nafasi iyo" -Fredrick sumaye

#Mabadiliko2015 "mwenyekiti alikuja na majina yake mfukoni,na yalikua yanafahamika,na mimi niliyafahamu" - Fredrick sumaye

#Mabadiliko2015 "tatizo la rushwa katika chama cha mapinduzi wakati wa uchaguzi,limezidi" -Fredrick sumaye

#Mabadiliko2015 "Fedha nyingi zimetumika kwenye michakato ya urais, ubunge na udiwani" - Fredrick sumaye

#Mabadiliko2015 "Watoa rushwa wengi wametangazwa ndo wagombea wa ccm" - Fredrick sumaye Live

#Mabadiliko2015 "Maisha ya kuona hamna maisha nnje ya ccm yamepitwa na wakati"
-fredrick sumaye live
 
Sumaye hana madhara...ni coalition of disadvantaged people....CCM octoba itashinda uchaguzi mtabaki midomo wazi.
 
Tuko vizuriiiiiiiiiiiiiiii....ooohh..😨😨😨😨
 
Si mlijifanya mnajua kukata?????!!!!!!!!!!!! kitengo si kilijifanya kinajua kukata?????!!!

Sasa tulieni tuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Tufanye yetu! Kufanyaje?! Kuwakateni!

Mchezo bado unaendelea, endeleeni kufuatilia!

Hajambo kijeba wenu babu Lowassa? kampeni ataweza? mtatuweza?
 
Kuchukua nchi asubuhi is an understatement,tayari tumechukua nchi kilichobaki kutimiza wajibu i.e. mere formality.
 
Wadau..

Mnakumbuka kuwa mgombea urais Chadema Edward Lowassa ndiye kiongozi mkubwa wa ulioitwa mtandao uliomwingiza Kikwete madarakani.

Inadaiwa walikubaliana kuachiana,hatua iliyopelekea EL kuwa kinga dhidi ya serikali kwa mambo mengi likiwemo Sakata la Richmond ambapo alikubali kuwa kafara.

Lowassa amekuwa mchimba mitaro na barabara dhidi ya wanasiasa wengi ili wao wapite,mzee wa watu huja kuambulia matusi baadaye.

Amekuwa mkimya bila kuwajibu hao waliotofautiana kimtazamo,hasemi ametumia gharama kiasi gani mpaka kufanikisha mission za jamaa zake..ametulia na yake moyoni.

Badala yake hao rafiki zake tena humgeuka kumchafua..kila jengo jipya zuri mjini la Lowassa,.kila binti mkali wa EL...kumbe yote uzushi.

Huyu mzee ni mvumilivu ajabu,hakuna mwanasiasa nchi hii mstaarabu na tolerant kama MAMVI..

SASA NAKUPA KURA YANGU UENDE NAWE IKULU UNAYOPIGWA VITA USIENDE NAWE UKALE MEMA AMA KAMA KUNA PUMZIKO NAWE UPATE..
 
Wadau..

Mnakumbuka kuwa mgombea urais Chadema Edward Lowassa ndiye kiongozi mkubwa wa ulioitwa mtandao uliomwingiza Kikwete madarakani.

Inadaiwa walikubaliana kuachiana,hatua iliyopelekea EL kuwa kinga dhidi ya serikali kwa mambo mengi likiwemo Sakata la Richmond ambapo alikubali kuwa kafara.

Lowassa amekuwa mchimba mitaro na barabara dhidi ya wanasiasa wengi ili wao wapite,mzee wa watu huja kuambulia matusi baadaye.

Amekuwa mkimya bila kuwajibu hao waliotofautiana kimtazamo,hasemi ametumia gharama kiasi gani mpaka kufanikisha mission za jamaa zake..ametulia na yake moyoni.

Badala yake hao rafiki zake tena humgeuka kumchafua..kila jengo jipya zuri mjini la Lowassa,.kila binti mkali wa EL...kumbe yote uzushi.

Huyu mzee ni mvumilivu ajabu,hakuna mwanasiasa nchi hii mstaarabu na tolerant kama MAMVI..

SASA NAKUPA KURA YANGU UENDE NAWE IKULU UNAYOPIGWA VITA USIENDE NAWE UKALE MEMA AMA KAMA KUNA PUMZIKO NAWE UPATE..

Runch ya Mombo nayo wanampakazia? hakuipata tokana na nafasi yake serikalini?
 
Miccm imeshaanza figisu figisu
kila agusacho lowassa kimekua dhahabu kila mbinu atumiayo inaonekana kero kwa ccm hivyo kutumia nguvu kunyima na kupora haki ya upinzani

Amini amini nakwambia uchaguzi hata uitishwe sasa hivi Lowassa ndio mshindi hata kura zikipigwa lumumba au chimwaga

Ccm kushindana na lowassa unahitaji marai wote wasanii wote na matusi yote ila bado hamtashinda

Njia pekee ya ccm kumzuia lowassa ni kifo tu hiyu jamaa afe kama hilo haliwezekani ni sawa na kuvaa msuli na kupanda mnazi huku ukijua ndani hujavaa

Aluta continua
without hooks and cracks Lowassa ndio rais wa JAMUHURI YA MUUNGANO WA WATU WA TANZANIA

RAIS WA WATU
 
Hili la Uwanja wa Jangwani ndio limenishangaza zaidi
 
Kwa zaidi ya wiki tatu nilikuwa napita maeneo ya jaribu, kivinje, bungu, kibiti, mkonngo, utete, kilimani, mloka, nyamwage, somanga mpaka kilwa masoko. Nilichojionea ni anguko baya kwa ccm. Wenyeji wa maeneo hayo wamesikitishwa na kusahauliwa kwa wilaya ya rufiji na kilwa. Barabara yenye rami ni moja tu yaani kilwa road. Ukichepuka barabara nyingine yeyote ni vumbi na hazipitiki kipindi cha mvua. Wanasema wanyama aina ya tembo na faru ambapo zamani walikuwa wanaonekana hata katika mashamba yao kwa sasa hawapo tena. Nilifika mloka nilishangaa kuona watu wakisema ccm huku hatuitaki tena. Kama mtakumbuka katika uchaguzi wa serikali za mitaa wilaya ya rufiji cuf walishinda kwa zaidi ya asilimia 65% lakini wanasema hizo 35% walizopata ccm wasitegemee tena. Maji yamekuwa tabu wakati mtu rufiji upo jirani. Dai lao kubwa ni kama serikali ya ccm wameshindwa kusamabaza maji kwa warufiji pamoja na kilwa kwa kutegemea mto rufiji je wataweza kufanya nini?. Pia wanalalamika kama waziri wa afya ambaye alishindwa ubunge alishindwa kuboresha huduma ya affya hata kwenye kata moja je nani ataweza?.... mao, mao..
 
Lakini ni ukweli unasikitisha kwamba wananchi wengi wa vijijini hawana habari na vuguvugu la kisiasa linaloendelea..wengi wao wanajua tu ccm ndio inayodumisha amani na kuwa isipotawala vita kubwa itatokea..umati huu uliobado na ujinga mwingi ndio wapiga kura wazuri wa chama cha mafisadi na bahati mbaya wako wengi mno ukilinganisha na wavuguvugu ambao wengi wetu tuko mijini tu..kwahyo nafasi ya ccm kuendelea kubaki ni kubwa zaidi
 
Ccm hamnazo,mpaka sasa hivi wanabeza muungano wa ukawa. Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa!
 
Back
Top Bottom