Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,420
- 4,033
hawa jamaa wakiambiwa wakabila wanang,aka
Ndio IPO ,katibu mkuu wake Kingunge MwiruAcha utani bana chadema bado ipo
Miundo mbinu asilia
Muda sio mrefu utaanza kuona kwa kutumia macho tulioanza kuyatumia sisi wengine toka Lowassa anakabidhiwa chama.Nitaisoma mwenyewe gazeti la Mawio nijionee maajabu hayo na hii hadithi ya kusadikika.
Ikitokeo Lowasa, Sumaye, Kingunge na Mbowe wakawagusa vijana machachari ndani ya chama kama akina JJM basi tutaelekea kubaya kama chama na tunaweza tusiwe na mwisho mwema.
Hayo yapite mbali.
Muda sio mrefu utaanza kuona kwa kutumia macho tulioanza kuyatumia sisi wengine toka Lowassa anakabidhiwa chama.
Endelea kuwa mvumilivu Mbowe hakoseagi.
kitila mkumbu akisoma hayo majina ya biongozi wa ukawa kwa sasa anachanganyikiwa sana sema anaumia kwa ndani ndani
Magazeti leo yanaripoti, Viongozi Wakuu wa CHADEMA wakisaidiwa na Lowassa, Sumaye na Kingunge wako kwenye mkakati wa kuisuka upya CHADEMA. Wameendelea kufanya vikao vya siri Mjini Moshi katika lengo la kuifanyia ukarabati CHADEMA.
Ikumbukwe wakati Lowassa na genge lake wanaingia CHADEMA, tuliambiwa CHADEMA itambadilisha Lowassa lakini kinachoelekea kutokea kwa sasa ni Lowassa kuibadilisha CHADEMA.
Moja ya ajenda ni kuwaondoa viongozi zaidi ya 16 ambao walikuwa karibu na Dk. Slaa kwa njia moja au nyingine na pia wamekwamisha safari ya matumaini/uhakika ya Lowassa kwenda Ikulu ya Rais wa Tanzania.
Inasemekana Lowassa na genge lake kwa sasa watakuwa wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA.
CHADEMA inaelekea kuzaliwa upya chini ya Lowassa na genge lake!
![]()
Sidhani kama Mnyika ataondoka kwenye uongozi wa chama!Mnyika naye watamtimua?
Atabaki kama abiria wa treni kama alivyokuwa Dr Slaa.Sidhani kama Mnyika ataondoka kwenye uongozi wa chama!
Hao ndiyo think tank wa CHADEMA kwa sasa!Jumlisha na DUNI na MASHA ni team foreigner