Mwanahalisi/Mawio ni magazeti ya Lumumba?
Unaumwa wewe.....Japo sibagui gazeti Lakini Habari yako jinsi Ilivyoandikwa /kizushi Kiharooo
umechukua kwenye gazeti LA RAIA mwema ambalo tunalijua ni Lumumba
Ndo maana kwenye picha ukaficha kurasa wa mbele ili kutuaminisha
Magazeti. Mengine yameandika ukwweli
mkiambiwa ukweli mnakimbilia Maneno hayo mepesiRAIA Tanzania gazeti linaloeneza propaganda kwa CDM toka kipindi cha uchaguzi mpaka sasa sishangai CDM miaka yote iliyoshiriki uchaguzi hufanya tathimini walipopatia walipoanguka na kutengeneza mpango mkakati mpya muulizeni ayatollah atawaambia
Propaganda mfu haziwezi kuzima propaganda za kweli hili gazeti lina propaganda mfu ni za kufikirika sana huna tofauti na wanaoimba ukanda ukabilaAiseee
Lowasa ni mwanachama wa Chama Gani?
Unakumbuka serikali za mitaa mwaka 2014 CHADEMA walifanya nini?
huu mkutano ndio unaweka mhuri mkataba wa kuuziwa lowassa chadema. kwa sera za ubepari uchwara/ubwanyenye cdm isahau kutwaa dola. sera za viongozi kumiliki uchumi kwa kupora mali za umma rushwa na kwa ubia na wafanyabiashara fisadi haziwezi kukubalika.Magazeti leo yanaripoti, Viongozi Wakuu wa CHADEMA wakisaidiwa na Lowassa, Sumaye na Kingunge wako kwenye mkakati wa kuisuka upya CHADEMA. Wameendelea kufanya vikao vya siri Mjini Moshi katika lengo la kuifanyia ukarabati CHADEMA.
Ikumbukwe wakati Lowassa na genge lake wanaingia CHADEMA, tuliambiwa CHADEMA itambadilisha Lowassa lakini kinachoelekea kutokea kwa sasa ni Lowassa kuibadilisha CHADEMA.
Moja ya ajenda ni kuwaondoa viongozi zaidi ya 16 ambao walikuwa karibu na Dk. Slaa kwa njia moja au nyingine na pia wamekwamisha safari ya matumaini/uhakika ya Lowassa kwenda Ikulu ya Rais wa Tanzania.
Inasemekana Lowassa na genge lake kwa sasa watakuwa wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA.
CHADEMA inaelekea kuzaliwa upya chini ya Lowassa na genge lake!
![]()
huu mkutano ndio unaweka mhuri mkataba wa kuuziwa lowassa chadema. kwa sera za ubepari uchwara/ubwanyenye cdm isahau kutwaa dola. sera za viongozi kumiliki uchumi kwa kupora mali za umma rushwa na kwa ubia na wafanyabiashara fisadi haziwezi kukubalika. inaelekea de facto cdm inajirithisha muelekeo wa ccm maslahi.
Kuna thread ililetwa hapa kuhusu suala ulilogusia!huu mkutano ndio unaweka mhuri mkataba wa kuuziwa lowassa chadema. kwa sera za ubepari uchwara/ubwanyenye cdm isahau kutwaa dola. sera za viongozi kumiliki uchumi kwa kupora mali za umma rushwa na kwa ubia na wafanyabiashara fisadi haziwezi kukubalika.
Heri we umekiri kuwa Lowassa kakabidhiwa chamaMuda sio mrefu utaanza kuona kwa kutumia macho tulioanza kuyatumia sisi wengine toka Lowassa anakabidhiwa chama.
Endelea kuwa mvumilivu Mbowe hakoseagi.
Kwa sasa wanaisuka ili ipate uhai wa kifisadi fisadi!Pumzi mpyaaa kwa mzee
Mbona ile mitambo ya fisadi Lowassa bado mwaitumia??? baniani mbaya kiatu chake dawa, hamna hata haya ninyiSiku lowassa atashitakiwa /kwanza akamatwe aswekwe ndani ndio wa Tanzania tutaamini ccm hawamsingizii hizo tuhuma za kifisadi