domokaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2010
- 3,588
- 1,760
Mmmhh…!! Naona sasa kupinduana kunaanza sijui hatma ya siasa hizi
Ben ajiandae
Mmmhh…!! Naona sasa kupinduana kunaanza sijui hatma ya siasa hizi
Angalia/soma post namba 53 kwenye thread hii....Ama tafuta gazeti la leo la MawioTupia hiyo habari ya Mawio
Mwanahalisi/Mawio ....Muelewa atakuwa amenielewa...Ila wewe haujanielewaMwanaHalisi leo linatoka?
HahahahahahahhaahahhhaaaaaaaaahahahahahahahahahahhahahaahhhhhahahahahahahahahahahahahIla wao hawaiti kupinduana mkuu,wanaita kubadili gear angani
Kumbe ni wafanyakazi hata magufuli ameondoa wafanyakazi wengi wa kikwete northing is wrong
gwajima alishawakana mbona... hadharani...Chadema ya Lowassa, Kingunge na Sumaye. Kwa heri Chadema wadau tulikupenda ila mafisadi wamekupenda zaidi.
Wasimsahau na Gwajima kwa ushauri zaidi. !
lowasa watanzania wote wanamuamini na kumpenda, hata akipewa uongozi chadema ni sawa tu
eti watz wote wanamuamini na kumpenda lowassa, leo si angekuwa magogoni badala ya handeni ambako anachunga ng'ombe. usijitoe ufahamu tafadhali.lowasa watanzania wote wanamuamini na kumpenda, hata akipewa uongozi chadema ni sawa tu