MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
- Thread starter
- #101
Inashangaza sana!Ikihojiwa CDM ni unafiki ukihojiwa utendaji kazi wa JPM na wazungushao mikono ni uzalendo uliotukuka. Fedha kweli fedheha. Utu unauzwa kwa vipande vya fedha. Nani msaliti wa upinzani Tanzania?
Mbowe ameiuza nafasi ya ugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, wao wanashangilia!
Kwa sasa anafanya vikao na Lowassa, Sumaye na Kingunge ili CHADEMA ijenge na kukuza misingi ya kifisadi, bado wanashangilia!