Lowassa, Sumaye na Kingunge kuisuka upya CHADEMA!

Lowassa, Sumaye na Kingunge kuisuka upya CHADEMA!

Think tank wao ni makongoro mahanga, guninita, mgeja,msindai na mwapachu
Chadema ya Lowassa, Kingunge na Sumaye. Kwa heri Chadema wadau tulikupenda ila mafisadi wamekupenda zaidi.

Wasimsahau na Gwajima kwa ushauri zaidi. !
 
Naona safari hii Chadema wamehamua kufanyia mkutano wao uwanja wa nyumbani Moshi.
 
Vijana wa M4C wanahaha baada ya kuambiwa hawajui siasa na kushauriwa waongeze nguvu kwenye ulinzi wa red brigedi...hii imewakera sana Chadema-halisi Cc Mmawia et al
Kwa sasa vijana wa 4 U Movement wametawala anga la Ufipa! Naambiwa kuna tetesi ya ofisi za makao makuu kutoka Ufipa kuhamishiwa Mikocheni..Ufipa itabaki kama tawi la vijana, wanawake na usalama (red brigade)....hii itakuwa ni "final blow" kwa chadema-halisi
Kuna uzi hapa mliuleta watu wa Lumumba kuwa 4u movement imesambaratika,sijui tena mnaodai wametamalaki mitaa ya Ufipa wametoka wapi?
 
Acha uzushi habari za vijiweni zinawekwa kwenye magazet ya lumumba
Teh teh teh!!

Wewe lazima utakuwa Chadema kata wenye chama wamekutana Moshi na Lowassa kaingizwa kwenye kamati kuu wewe una unalolijua Chadema.
 
Magazeti leo yanaripoti, Viongozi Wakuu wa CHADEMA wakisaidiwa na Lowassa, Sumaye na Kingunge wako kwenye mkakati wa kuisuka upya CHADEMA. Wameendelea kufanya vikao vya siri Mjini Moshi katika lengo la kuifanyia ukarabati CHADEMA.

Ikumbukwe wakati Lowassa na genge lake wanaingia CHADEMA, tuliambiwa CHADEMA itambadilisha Lowassa lakini kinachoelekea kutokea kwa sasa ni Lowassa kuibadilisha CHADEMA.

Kuna viongozi zaidi ya 16 ambao walikuwa karibu na Dk. Slaa kwa sasa wamekalia kitu kavu na wako mbioni kuondolewa kwenye uongozi ndani ya CHADEMA.

CHADEMA inaelekea kuzaliwa upya chini ya Lowassa na genge lake!

12498584_1019627164768408_331476876_n.jpg
Mbowe anawasomesha namba wanachadema hahahha
 
Back
Top Bottom