Lowassa, Sumaye na Kingunge kuisuka upya CHADEMA!

Lowassa, Sumaye na Kingunge kuisuka upya CHADEMA!

CHADEMA imeshinda majimbo mengi all over the Country...

Ma CCM wanapenda kuwagawa watanzania...Hivyo you guys will always do that....Watanzania wanaielewa CHADEMA kuwa ni chama chao na ndio maana 40% walikiamini katika Uchaguzi uliopita

Hizo unazoongelea hapa ni Propaganda zenu za kipuuzi ambazo tumezizoea

Hivi CCM hua mnafanya mikutano kwa kuangalia uenyeji wa viongozi wenu....?
Kwa taarifa yako chadema imeshinda majimbo 70 tu ,nchi nzima pamoja na porojo zote hizo za kuzungusha mikono.
 
Kwa taarifa yako chadema imeshinda majimbo 70 tu ,nchi nzima pamoja na porojo zote hizo za kuzungusha mikono.

What is your point exactly?

upload_2016-1-8_14-42-3.png
 
Kama wewe ungekuwa na uwezo mkubwa kunishinda basi ungejua kwamba Moshi ni jina la mji na inaandikwa kwa ,,M " na siyo ,,m" yaani ni Moshi na siyo moshi!
Another stupid argument .... Hawa watoto wa siku hizi siji hawakunyonya kwa amam zao? au walinyonya kwa mama wa kambo.
 
Point ni kwamba watz hawadanganyiki na porojo za makapi ya ccm.

Eti ,4 u movent.

Hahahaha

Watanzania Milioni 6 wameichagua CHADEMA...They voted for change...Na ndicho watu wanachotaka

MsingI wa mabadiliko ni Katiba

Mabadiliko hayawezi kuletwa na CCM
 
Fuatilia siasa za nchi hii utaelewa

Wakati NCCR ikiwa chama chenye nguvu killitwa chama cha wachaga........Tena Kikaitwa National Chaga congregation nini sijui huko

CUF kilivyokuwa chama imara kikaitwa chama cha wapemba na chama cha Waislam

CHADEMA ni chama imara kwa sasa imepewa jina ni chama cha kaskazini na ni chama cha kikristo

Sasa wewe unataka tuanze kukaa kufanyia kazi Propaganda za CCM?

CHADEMA imewekeza kwa muda mrefu ndio maana imeendelea kuwa relevant kwenye siasa za nchi hii....Tangu mwaka 1992 CHAMA kimekuwa kikikuwa tu......Sasa usidhani hili limetoke kwa bahati mbaya...Big Nooo...Ni mikakati
We unadhani hayo yaliyosemwa kuhusu nccr, cuf na chadema hayana viashiria vya ukweli?
Unaweza kuweka ramani ya Tanzania na kuonesha distribution ya wanachama wa vyama hivyo, viongozi wakuu wa vyama hivyo na activities za vyama hivyo, utagundua kuwa hizo propaganda zinashabihiana na vitu nilivyosema hapo juu!
Sasa kama hiyo ni coincidence au ndio ukweli hilo ndilo mnalopaswa kulifanyia kazi!
Cuf walikuwa wanatangazwa na masheikh misikitini, kama walitumwa au walijiamulia lkn hakuna anauejua, cdm wametangazwa na maaskofu, kama mshenga na slaa ambaye ni katibu Mkuu mstaafu alishutumu ze same!
Hakuna excuse, kama hizi ni coincidence au plans anatakiwa kuzifanyia kazi! Huna haja ya kujidanganya kuwa hizo ni just propaganda za ccm! Kuna uwiano Fulani ambapo hiyo bias inajefanya ccm itumie kuwafanyia fitna!
Acheni uvivu, msikwepe majukumu, kuna issue ambayo watanzania hawaridhishwi nayo, I ifanyieni kazi! Kumbuka ktk siasa one day utahitaji my vote! Fanya nikuamini leo, ili wakati wa kupiga kura nisiwe na doubt!
 
Wewe endelea kupiga kelele tu kwa sababu hiyo ni kazi uliyojichagulia kama mnazi wa CHADEMA.

Wenye CHADEMA wameamua na kilichobaki jiandae kushabikia uamuzi wao.

Unanikumbusha jinsi shetani alivyojaribu bila mafanikio, kumrubuni yesu
 
We unadhani hayo yaliyosemwa kuhusu nccr, cuf na chadema hayana viashiria vya ukweli?
Unaweza kuweka ramani ya Tanzania na kuonesha distribution ya wanachama wa vyama hivyo, viongozi wakuu wa vyama hivyo na activities za vyama hivyo, utagundua kuwa hizo propaganda zinashabihiana na vitu nilivyosema hapo juu!
Sasa kama hiyo ni coincidence au ndio ukweli hilo ndilo mnalopaswa kulifanyia kazi!
Cuf walikuwa wanatangazwa na masheikh misikitini, kama walitumwa au walijiamulia lkn hakuna anauejua, cdm wametangazwa na maaskofu, kama mshenga na slaa ambaye ni katibu Mkuu mstaafu alishutumu ze same!
Hakuna excuse, kama hizi ni coincidence au plans anatakiwa kuzifanyia kazi! Huna haja ya kujidanganya kuwa hizo ni just propaganda za ccm! Kuna uwiano Fulani ambapo hiyo bias inajefanya ccm itumie kuwafanyia fitna!
Acheni uvivu, msikwepe majukumu, kuna issue ambayo watanzania hawaridhishwi nayo, I ifanyieni kazi! Kumbuka ktk siasa one day utahitaji my vote! Fanya nikuamini leo, ili wakati wa kupiga kura nisiwe na doubt!

Na ujue kuwa Growth ya CHADEMA sio Coincidence tu

Na ujue kuwa Propaganda ni sehemu ya Siasa

Na ujue kuwa Hakuna Chama chochote cha siasa kitachachoanzishwa bila kuwa na "Stronghold"

Mbona kwa sasa hamviongelei vyama amavyo vina stronghold kule "Mwandiga"

Simply coz si tishio kwenu

Mkuu...This is Politics.....Hatuwezi kukaa na kuendeshwa na Propaganda za Wapinzani wetu...We stick on our strategies

Slaa alimshutumu Gwajima kuhusu Lowasa...Gwajima hajawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA....Na hata kama angekuwa Mbona CCM Mchungaji Lwakatare ni mwanachama wenu........

Kama vote yako inategemea vitu vya kipuuzi kama hivi haina umuhimu
 
RAIA Tanzania gazeti linaloeneza propaganda kwa CDM toka kipindi cha uchaguzi mpaka sasa sishangai CDM miaka yote iliyoshiriki uchaguzi hufanya tathimini walipopatia walipoanguka na kutengeneza mpango mkakati mpya muulizeni ayatollah atawaambia
 
Kwa taarifa yako chadema imeshinda majimbo 70 tu ,nchi nzima pamoja na porojo zote hizo za kuzungusha mikono.

Usikwepe point CDM, UKAWA wameongeza viti. Kabla ya 1995 viti vyote vilikuwa vya Chama dola
 
Na ujue kuwa Growth ya CHADEMA sio Coincidence tu

Na ujue kuwa Propaganda ni sehemu ya Siasa

Na ujue kuwa Hakuna Chama chochote cha siasa kitachachoanzishwa bila kuwa na "Stronghold"

Mbona kwa sasa hamviongelei vyama amavyo vina stronghold kule "Mwandiga"

Simply coz si tishio kwenu

Mkuu...This is Politics.....Hatuwezi kukaa na kuendeshwa na Propaganda za Wapinzani wetu...We stick on our strategies

Slaa alimshutumu Gwajima kuhusu Lowasa...Gwajima hajawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA....Na hata kama angekuwa Mbona CCM Mchungaji Lwakatare ni mwanachama wenu........

Kama vote yako inategemea vitu vya kipuuzi kama hivi haina umuhimu
Ahsante! Kama unadhani nafanya propaganda za kisiasa!
Note: vyama vyote vilivyopita na kuwa tishio kwa ccm ref: nccr-mrema, cuf-ngangari vilikuwa juu mno, havikwenda beyond mwaka waliofanya vema zaidi simply kwa kuendeleza ze so called strongholds za chama! Watu walipoambiwa na kuhisi kweli chama sio chao, wengi walijitahidi kutafuta wanapofit!
Freeland kama hii ni Mara yako ya 3 au zaidi kupiga kura, nina hakika kabisa 2005 hukuipigia cuf! Hukuwa na imani nao, na simply ulikuwa na doubt juu ya ukanda na udini wa cuf! Vivyo hivyo kama kuna mtu alikuwa cuf, 2010 najua hawakumpigia Dr. Slaa, kwa kuwa na mashaka na ukanda na udini! Kwa mantiki hii, si busara kupuuzia hizo propaganda!
Naomba kurest my case!
 
Watanzania Milioni 6 wameichagua CHADEMA...They voted for change...Na ndicho watu wanachotaka

MsingI wa mabadiliko ni Katiba

Mabadiliko hayawezi kuletwa na CCM
Watu mil 6 walimpigia kura Lowasa sio chadema!
Hii iko very tricky!
Some ccm members voted kwa Lowasa, cuf walivote kupitia ukawa! Nccr na NLD walijiunga kuipigia CHADEMA! Kuna issue ya chadema kukubalika na Lowasa kupata kura! Hivi ni vitu viwili tofauti!
 
Aiseee

Lowasa ni mwanachama wa Chama Gani?

Unakumbuka serikali za mitaa mwaka 2014 CHADEMA walifanya nini?
 
Back
Top Bottom