kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,968
LUMUMBA inawauma kwa kuwa masilahi yao yanakwama sasa,masalia yatatupwa nje sooon
Hapo tunaambiwa CHADEMA inasonga mbele na mafanikio!Think tank wao ni makongoro mahanga, guninita, mgeja,msindai na mwapachu
LOWASSA FEVER STILL HEAT AND BURN /Magazeti leo yanaripoti, Viongozi Wakuu wa CHADEMA wakisaidiwa na Lowassa, Sumaye na Kingunge wako kwenye mkakati wa kuisuka upya CHADEMA. Wameendelea kufanya vikao vya siri Mjini Moshi katika lengo la kuifanyia ukarabati CHADEMA.
Ikumbukwe wakati Lowassa na genge lake wanaingia CHADEMA, tuliambiwa CHADEMA itambadilisha Lowassa lakini kinachoelekea kutokea kwa sasa ni Lowassa kuibadilisha CHADEMA.
Moja ya ajenda ni kuwaondoa viongozi zaidi ya 16 ambao walikuwa karibu na Dk. Slaa kwa njia moja au nyingine na pia wamekwamisha safari ya matumaini/uhakika ya Lowassa kwenda Ikulu ya Rais wa Tanzania.
Inasemekana Lowassa na genge lake kwa sasa watakuwa wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA.
CHADEMA inaelekea kuzaliwa upya chini ya Lowassa na genge lake!
![]()
Inatuuma sana ,sisi chadema asiliaAlitakalo Mbowe na liwe,haya ndio madhara ya kuwageuza viongozi kuwa miungu watu,hawakosolewi wala kuhojiwa!?So sad!
Habari hiyo upo kwenye gazeti la mawio ambalo ni gazeti dada la mwanahalisi yanayomilikiwa na Halfan (Saed) Kubenea.MwanaHalisi leo linatoka?
Gazeti la MAWIO limeandika hiyo habari nyie wengine ni Chadema-Kata tu mnafuata mkumbo.MwanaHalisi leo linatoka?
Ila wao hawaiti kupinduana mkuu,wanaita kubadili gear anganiMmmhh…!! Naona sasa kupinduana kunaanza sijui hatma ya siasa hizi
Si unaona hata kikao chenyewe tumefanyia nyumbani moshi huku tunakunywa mbege.lazima tubadili gear angani tena.Safi sana.....katika Saccos yetu hatutaki watu wasiotoka kwetu
Magufuli hajaondoa wa Kikwete kaondoa wa lowasa. Amewasaidia maana wasingeweza kutumikia mabwana wawili.
Tupia hiyo habari ya MawioMwanahalisi/Mawio ni magazeti ya Lumumba?
Kwa sababu ya upuuzi wenu huu mtaendelea kukatwa kila uchaguzi.Hamtafanikiwa kuwavunja moyo wana chadema kama tulimwamini Lowasa KUPEPERUSHA BENDERA YA URAIS KWANINI KUWE NA SHIDA YEYE KUWA KIONGOZI KWENYE CHAMA? uNAWEZAJE KUMPA MTU UONGOZI WA NCHI UKAWA NA HOFU YA YEYE KUWA KIONGOZI WA CHAMA? sasa chadema chini ya hawa watu kingunge, lowasa na sumaye tegemeeni chadema yenye nguvu na kasi zaidi kwa kuwa hapo hakuna wa kununuliwa watu wamejitosheleza, nyie endeleeni kusubiri chadema idhoofu mtasubiri sana.
Jiridhishe ila ulimwengu mzima unajua, hata Magufuli anajua mshindi alikuwa Lowasa, na ujue hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.Kwa sababu ya upuuzi wenu huu mtaendelea kukatwa kila uchaguzi.
Viongozi Wa chadema, hata kufuata katiba yao hawawezi alafu wanalilia kupewa nchi!!!!?
Ccm itaendelea kufyatua makapi na chadema wanameza