Hukuona yaliyotokea Monduli leo?Hata akisema hamna mabadiliko yatakayofanywa... Kwa usalama na heshima yake bora anyamaze milele
mimi nasema wamuache tu atoe ya moyoni...wanamtishatisha wa nini? wamuachie tu ateme nyongo ili kifua chake kiwe chepesi. enzi za kuishi kwa vitisho na kumlazimisha mtu aishi cacooned life zimepitwa na wakati. for how long will CCM ever tie Lowassa to the party's apron strings?
Kwanza kuwepo mpaka sasa ana bahati, na bora asijesema kitu!mimi nasema wamuache tu atoe ya moyoni...wanamtishatisha wa nini? wamuachie tu ateme nyongo ili kifua chake kiwe chepesi. enzi za kuishi kwa vitisho na kumlazimisha mtu aishi cacooned life zimepitwa na wakati. for how long will CCM ever tie Lowassa to the party's apron strings?
Wana hakika wanafanya kitu chenye tija kwao kweli?Au pengine wanakwenda mficha asibwatuke ufisadi ila si uchaguzi.Kwani chochote mtakachofanya mtawakumbusha wamasai sokoine akinyamaza wataamua kuongea kwa vitendo km mnavyoona ktk TV.Taarifa zimeenea mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kwamba, baada ya jina lake kukatwa kibabe sasa CCM wameamua kumfunga speech gavana ili kupunguza uwezekano wa kukimegua chama kutokana na kuwa na kundi kubwa la wanaCCM wanaomuunga mkono na ambao bado wana kinyongo cha kukatwa jina la mentor wao.Moja ya mikakati wanayotumia CCM ni kuwashirikisha usalama wa taifa kumpiga pin asiteme nyongo yake mbele ya vyombo vya habari. "Wiki iliyopita aliahirisha kuongea na wanahabari baada ya kutishwa sana na 'vyombo ya usalama'. Ni kama vile amewekwa kuzuizini au kuwekwa kwenye karantini", alisema mmoja wa wafuasi wake.Mbinu ya pili na ambayo nadhani itammaliza kabisa ni huu mkakati wa kumpeleka "uhamishoni" huko ughaibuni. Kuna taarifa kwamba chama kinashirikiana na mtanzania mmoja mwenye asili ya kiasia na ambaye ni mwenyekiti wa klabu moja maarufu ya mpira yenye makao yake Dar es Salaam, kumhamisha Lowassa hapa nchini kwa muda hadi uchaguzi utakapoisha, lengo likiwa kutuliza munkari wa wafuasi wake.
Mi ni mfuatiliaji sana
Lowasa katumia pesa kuaminisha watu kwamba anapendwa. Ametumia media na kutumia uelewa mdogo wa watz wanaoamini vyombo vya habari kama msahafu/biblia. Hilo ndo linaleta tatizo lakini anazidiwa na wengine waliokatwa.
Huna hoja jinga wee!!
Akili yako inafikiria mshiko tu, wataku-tigolise mtoto wa kiume!!
mzee pinda ... yaani pm akose 5 bora,!!!tujifunze jambo hapo.