wengine wamezoea kukatwa,wanapenda kukatwa,hawaoni shida kukatwa,walitarajia kukatwa....hayo yote hayafanyi basi wote kwa asilimia mia moja wakubali kukatwa!aliyekatwa na akapiga kimya shauri yake,yeye kachagua kuchukia kukatwa!
I second the motion!.Kwako EL, ulichofanyiwa ndicho tunachofanyiwa wanyonge nchi hii, Kila siku! TUMEKATWA majina yetu kwenye haki zetu za msingi, nyingi, Mara nyingi tu!
Lakini EL umefanya vyema kukaa kimya, ila inatosha sasa, sema neno. Amua moja, kubali KUKATWA, nenda kafanye mambo mengine, kama WAKATAJI wanavyotaka!
Au jiunge na walioKATWA, hata kama hutaingia ikulu, vunja na kufifisha makali ya KISU, kesho na keshokutwa ukumbukwe kwamba uliukana huo mfumo wa ukataji wenye masilahi na kulinda masilahi hayo ya wachache!
Au Kaa kimya ukumbukwe na wajukuu zako kwamba uliKATWA ukakubali! I challenge you mr. EL; SEMA SASA AU NYAMAZA MILELE!
Mi ni mfuatiliaji sana
Lowasa katumia pesa kuaminisha watu kwamba anapendwa. Ametumia media na kutumia uelewa mdogo wa watz wanaoamini vyombo vya habari kama msahafu/biblia. Hilo ndo linaleta tatizo lakini anazidiwa na wengine waliokatwa.
Kaah Kweli ww akili hauna, kumbe hoja yako ni ugonjwa wa El! Lakini umesahau maradhi uliyonayo ya kufikilishwa na watu wengine! Ndo maana unasema ana Uwezo wa kuhonga Kila mtu, ----- we! Ss wengine ni masikini kweli lakini ni matajiri Wa fikiria! Nadhani unatuaminisha kuwa amewashika Ndiyo maana mifumo yote ya kimaadili na kimahakama imetiwa ganzi na El! Ebu jitambue then tuzungumzie issues and not people!Huyu mtu mwenyewe mgonjwa lakini watu mmekazania Lowasa. Nyie ndo hamna uzalendo na nchi hii. Kuba watu wengi wa kuweza kuongoza Tanzania. Msitake kutuaminisha kwamba bila Lowasa nchi haitakwenda.
Kwako EL, ulichofanyiwa ndicho tunachofanyiwa wanyonge nchi hii, Kila siku! TUMEKATWA majina yetu kwenye haki zetu za msingi, nyingi, Mara nyingi tu!
Sijui kama kweli Nyerere aliKUKATA kama ameacha usia uendelee KUKATWA kila siku, lakini hao wateule waliopewa jukumu la KUKATA, wanaKATA sana, tena bila huruma, mpaka wewe wamekuKATA??!!!
KUKATA kumesababisha tabaka, kuna WANAOKATA na WANAOKATWA, hili lipo wazi, lakini ninachosisitiza, TULIOKATWA tupo wengi, tabaka la WAKATAJI ni la wachache. Wewe mwenyewe EL ulikua MKATAJI, lakini bila huruma wametumia Kisu hicho hicho KUKUKATA, hata wewe!
Nina uhakika hata wewe ni mwanadamu kama mimi na maumivu ya KUKATWA, hasa kwako, yapo, yapo EL, maumivu ya KUKATWA na maswahiba wa karibu ni makubwa!
Lakini EL umefanya vyema kukaa kimya, ila inatosha sasa, sema neno. Amua moja, kubali KUKATWA, nenda kafanye mambo mengine, kama WAKATAJI wanavyotaka!
Au jiunge na walioKATWA, hata kama hutaingia ikulu, vunja na kufifisha makali ya KISU, kesho na keshokutwa ukumbukwe kwamba uliukana huo mfumo wa ukataji wenye masilahi na kulinda masilahi hayo ya wachache!
Au Kaa kimya ukumbukwe na wajukuu zako kwamba uliKATWA ukakubali! I challenge you mr. EL; SEMA SASA AU NYAMAZA MILELE!
wengine wamezoea kukatwa,wanapenda kukatwa,hawaoni shida kukatwa,walitarajia kukatwa....hayo yote hayafanyi basi wote kwa asilimia mia moja wakubali kukatwa!aliyekatwa na akapiga kimya shauri yake,yeye kachagua kuchukia kukatwa!
Matusi yatakushushia heshima ndugu yangu! Mimi kumjua au kama simjui, lakini natumia freedom of speech, kuongea mawazo yangu!acha upumbavu unamjuwa El wewe? Je angeteuliwa kesho ungerud hapa kuandika nin? Acha ujinga acha wakate maana wanajuwa kwanin wamekata?