Lowassa: Rushwa ni kansa inayoitafuna nchi

Lowassa: Rushwa ni kansa inayoitafuna nchi

Hiki chama bana kinanifurahisha sana huwa wanamikakati mno na fitna nyingi....wakikwabia no ujue ni no tu....hata kama utapiga kelele hadi povu likutoke.

Unakumbuka ya Salim Ahmed Salim? Mzee wa watu wakampiga fitna za kufa mtu akabaki anashangaa na mpaka leo hana hamu nao kabisa.
 
Taarifa za uhakika kutoka kwa mmoja wa vigogo wa chama cha mapinduzi unaeleza jinsi ndoto za Lowassa zitavyozimwa. Mkakati huo unaoandaliwa kwa ustadi wa hali ya juu na Wana usalama na vigogo wa chama ni kuhakikisha Lowassa hapitishwi KUGOMBEA urais kupitia chama cha mapinduzi. Kamati ya maadili iliyowachukulia hatua vigogo ya chama cha mapinduzi akiwamo Lowassa ni hatua moja wapo ya kuelekea kwenye hitimisho la grand plan. Unajua mkakati ulipo mbele ya safari ni kuyakata majina yote ya wale waliopigwa stop na kamati ya maadili, wote watakumbwa na fagio akiwamo sitta, membe, January, wassira na huyo Lowassa, ila mlengwa mkuu ni Lowassa.



Anazidi kueleza kua kukatwa kwa majina ya wale wote waliochukuliwa hatua na kamati ya maadili ni kuondoa manunguniko kutoka kwa wapambe wa Lowassa kwamba mgombea wao pekee ndio amekatwa jina. Sasa hapa itakua ngumu sana kwa Lowassa, cz majina yatakatwa yote na lake likiwemo, atalalamikia wapi? Na wote waliokatwa watatii maamuzi ya chama kwa mkakati ulipo, yeye akikisumbua chama si ataonekana anaurafi wa madaraka?. Anazidi kueleza, Hapa zidhani kama atapona tena akisema ajitoe kwenye chama ataonekana ni mtu wa ovyo na msaka madaraka.


KWA WALE TEAM LOWASSA KAZI MNAYO


SOURCE: THE INSIDER (UNCLASSIFIED)

Huo ugoro wako peleka Kwa walevi Wa ugoro Kama wewe! You could have told us that is one conspiracy theory. Do not let us believe you made up stories!
 
Hakuna mtu mwenye uwezo wa kumzuia lowasa ccm, wote wamesha nasa kwenye mtego wake.
 
Taarifa za uhakika kutoka kwa mmoja wa vigogo wa chama cha mapinduzi unaeleza jinsi ndoto za Lowassa zitavyozimwa. Mkakati huo unaoandaliwa kwa ustadi wa hali ya juu na "Wana usalama" na vigogo wa chama ni kuhakikisha Lowassa hapitishwi KUGOMBEA urais kupitia chama cha mapinduzi. Kamati ya maadili iliyowachukulia hatua vigogo ya chama cha mapinduzi akiwamo Lowassa ni hatua moja wapo ya kuelekea kwenye hitimisho la "grand plan". " Unajua mkakati ulipo mbele ya safari ni kuyakata majina yote ya wale waliopigwa stop na kamati ya maadili, wote watakumbwa na fagio akiwamo sitta, membe, January, wassira na huyo Lowassa, ila mlengwa mkuu ni Lowassa".



Anazidi kueleza kua kukatwa kwa majina ya wale wote waliochukuliwa hatua na kamati ya maadili ni kuondoa manung'uniko kutoka kwa wapambe wa Lowassa kwamba mgombea wao pekee ndio amekatwa jina. "Sasa hapa itakua ngumu sana kwa Lowassa, cz majina yatakatwa yote na lake likiwemo, atalalamikia wapi? Na wote waliokatwa watatii maamuzi ya chama kwa mkakati ulipo, yeye akikisumbua chama si ataonekana anaurafi wa madaraka?". Anazidi kueleza, Hapa zidhani kama atapona tena akisema ajitoe kwenye chama ataonekana ni mtu wa ovyo na msaka madaraka.


KWA WALE TEAM LOWASSA KAZI MNAYO


SOURCE: THE INSIDER (UNCLASSIFIED)
Maamuzi magumu yanahitajika na Mh Lowasa anaweza akipewa nafasi

1907513_966068363427614_4736803703485890492_n.png
 
Taarifa za uhakika kutoka kwa mmoja wa vigogo wa chama cha mapinduzi unaeleza jinsi ndoto za Lowassa zitavyozimwa. Mkakati huo unaoandaliwa kwa ustadi wa hali ya juu na "Wana usalama" na vigogo wa chama ni kuhakikisha Lowassa hapitishwi KUGOMBEA urais kupitia chama cha mapinduzi. Kamati ya maadili iliyowachukulia hatua vigogo ya chama cha mapinduzi akiwamo Lowassa ni hatua moja wapo ya kuelekea kwenye hitimisho la "grand plan". " Unajua mkakati ulipo mbele ya safari ni kuyakata majina yote ya wale waliopigwa stop na kamati ya maadili, wote watakumbwa na fagio akiwamo sitta, membe, January, wassira na huyo Lowassa, ila mlengwa mkuu ni Lowassa".



Anazidi kueleza kua kukatwa kwa majina ya wale wote waliochukuliwa hatua na kamati ya maadili ni kuondoa manung'uniko kutoka kwa wapambe wa Lowassa kwamba mgombea wao pekee ndio amekatwa jina. "Sasa hapa itakua ngumu sana kwa Lowassa, cz majina yatakatwa yote na lake likiwemo, atalalamikia wapi? Na wote waliokatwa watatii maamuzi ya chama kwa mkakati ulipo, yeye akikisumbua chama si ataonekana anaurafi wa madaraka?". Anazidi kueleza, Hapa zidhani kama atapona tena akisema ajitoe kwenye chama ataonekana ni mtu wa ovyo na msaka madaraka.


KWA WALE TEAM LOWASSA KAZI MNAYO


SOURCE: THE INSIDER (UNCLASSIFIED)
Mwaka huu mtauwa sana walemavu wa Ngozi (Albino) kwaajili ya Lowassa!
 
Acha kuleta taarifa za kwenye kashata wewe. We ni nani mpaka mtu awashwe kuja kukuambia maneno hayo??? Kama unamlipa hela kwa kazi hiyo fukuza kazi huyo ni mchumia tumbo.
Taarifa za uhakika kutoka kwa mmoja wa vigogo wa chama cha mapinduzi unaeleza jinsi ndoto za Lowassa zitavyozimwa. Mkakati huo unaoandaliwa kwa ustadi wa hali ya juu na “Wana usalama” na vigogo wa chama ni kuhakikisha Lowassa hapitishwi KUGOMBEA urais kupitia chama cha mapinduzi. Kamati ya maadili iliyowachukulia hatua vigogo ya chama cha mapinduzi akiwamo Lowassa ni hatua moja wapo ya kuelekea kwenye hitimisho la “grand plan”. “ Unajua mkakati ulipo mbele ya safari ni kuyakata majina yote ya wale waliopigwa stop na kamati ya maadili, wote watakumbwa na fagio akiwamo sitta, membe, January, wassira na huyo Lowassa, ila mlengwa mkuu ni Lowassa”.



Anazidi kueleza kua kukatwa kwa majina ya wale wote waliochukuliwa hatua na kamati ya maadili ni kuondoa manung’uniko kutoka kwa wapambe wa Lowassa kwamba mgombea wao pekee ndio amekatwa jina. “Sasa hapa itakua ngumu sana kwa Lowassa, cz majina yatakatwa yote na lake likiwemo, atalalamikia wapi? Na wote waliokatwa watatii maamuzi ya chama kwa mkakati ulipo, yeye akikisumbua chama si ataonekana anaurafi wa madaraka?”. Anazidi kueleza, Hapa zidhani kama atapona tena akisema ajitoe kwenye chama ataonekana ni mtu wa ovyo na msaka madaraka.


KWA WALE TEAM LOWASSA KAZI MNAYO


SOURCE: THE INSIDER (UNCLASSIFIED)
 
Akate nani jina , dhubutu. Kwani ccm ni akina nani, nape na makonda...ebo. Kumzuia Lowassa ni sawa na kuzuia jua kuzama jioni...unaweza. Wataangaika sana lakini safari ya matumaini iko palepale

Safar ya kuwaibia watanzania ipo palepale ,na lazima itimie kwa vyovyote vile .
 
Acha kuleta taarifa za kwenye kashata wewe. We ni nani mpaka mtu awashwe kuja kukuambia maneno hayo??? Kama unamlipa hela kwa kazi hiyo fukuza kazi huyo ni mchumia tumbo.

Umeuliza swali zuri, mimi ni nani? It means haunifahamu na hautanifahamu, my identity is none of your business, kaa kimya
 
Aliyepata kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania,Edward Lowassa amesema rushwa nchini ni kansa inayoitafuna nchi,amesema hayo mchana huu akihojiwa na idhaa ya kiswahili ya DW, Pamoja na hayo amesisitiza kuwa hana kundi ndani ya CCM.

Mahojiano;


  • Haya ni dondoo za mahojiana ya Lowassa na mtangazaji wa DW yaliorushwa ktk matangazo ya leo mchana

    Mtangazaji: Maoni yako hukusu rushwa
    Lowassa: "Rushwa ni canser ndani ya jamii ", yanazungumzwa mengi ila nikwambie mtangazaji tuna TAKUKURU inafanya kazi nzuri na pia nina
    imani na bosi wake anafanya kazi nzuri ila kazi hiyo ni ngumu sana inahitaji ushirikiano wa jamii na pia kuna dosari za kisheria.

    Mtangazaji: Je ni dosari gani za kisheria
    Lowassa: Wenyewe PCCB wamedai kuna dosari ktk sheria waulize wenyewe watakueleza zaidi

    Mtangazaji:Inaelezwa kunamakundi ndani ya CCM na ww ni mmojawapo, je una kundi?
    Lowassa: Hapana, unajua wakati wa uchaguzi kila mmoja huwa na kundi lake ila kwa CCM baada ya kumpata mshindi basi makundi yote yanaishia hapo na tunakua kitu kimmoja. na kama ni kuwa nakundi basi kundi langu ni "CCM"

    Mtangazaji: Je utagombea urais 2015
    Lowassa: bado kuna miaka 3, unajiandaaje kuvuka daraka kabla hujalifikia! basi nikishavuka daraja ndio nitasema kama nitagombea

    Mtangazaji: Sauti inapazwa umefika wakati Rais ajaye awe Mwanamke
    Lowassa: sipendi kulizungumzia kwa sasa subirini hadi muda utakapofika

    Mtangazaji: Unazungumziaje Muungano uliopo na je zipo kero
    Lowassa: Muungano unaendlea uzuri ila zipo kero lakini hata kwny ndoa kero zipo muhimu ni kwavipi mnazishuhulikia hizo kero

    Mtangazaji: je maoni yako juu ya muundo wa muungano wakati huu wa utungaji wa katiba mpya
    Lowassa: Mimi niachie mjadala uendelee na baadae nitatoa msimamo wangu

    Mtangazaji: Je ikiamuliwa uwe muungano wa serikali 3 au wa mkataba
    Lowassa: Watakavyoamua wananchi ndio sawa na nitaunga mkono​



Maneno adimu sana yaliyojawa hekima sukari ya kizalendo.. Viva Lowassa vivaaaa... Binafsi napenda nikushawishi utangaze nia kwani umma mkubwa wa sisi watanzania tunamuhitaji wewe baba!
 
hivi lowasa wakusema hayo??
kweli maisha bila unafiq hayaendi.
 
[h=2]Katibu wa Nyerere, Mzee Kasori aeleza anavyotishwa kwa 'kufufua' ukweli[/h]
Katika maelezo yake, Kasori anasema

“Haya masuala nilikwishayaeleza yote na kuyaweka kwenye mtandao. Siogopi nilikwishayaweka wazi,”

“Tanzania nzima mtakumbuka kuwa huyu Mheshimiwa Edward Lowassa alikuwa ni mmoja wa wagombea wa nafasi ya urais mwaka 1995 na akaenguliwa kwa hoja nzito ya kutokuwa muadilifu na Baba wa Taifa Mwalimu J.K. Nyerere,
Katibu wa Nyerere, Mzee Kasori aeleza anavyotishwa kwa 'kufufua' ukweli ~ wavuti
 
Ndani ya CCM yetu nimewasikia hawa wakipiga kelele kuhusu ufisadi/rushwa:
Warioba
Butiku
Sumaye

Ufisadi ni majanga ya taifa.Kupiga kelele hakutoshi,jambo muhimu ni kuzuia ufisadi kabla haujatokea.Kuota kuwa fisadi ni njozi mbaya ,lakini ukidhibitika kuwa fisadi kwa mujibu wa sheria umekosea umma ni kosa la jinai.Sheria za nchi zinajitoshereza tatizo ni kuhujumu sheria na taratibu za kitawala.
 
Wewe acha kukurupuka hayo ni maoni yake sasa wapi kakosea?kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake?na hizo kashifa za rushwa unavithibitisho au ndo kumezeshwa sumu na maneno yasiyo na msingi,,, hizo chuki binafsi usizilete huku wew
 
Safi sana rais mtarajiwa lowassa,,, tunakupenda sana,, ngoja hawa walio meza sumu na kumezeshwa watatapika nyongo mwaka huu,,tunafaham utendaji wako wa kazi,,,,,
 
Back
Top Bottom