jana si tulimsikia sadifa akisema hakuna wa kukatwa jina?
mkuu hata mnara wa babeli ulianguka hivi hivi kila mtu anaongea lugha yakeMkuu hawa watu Kila mtu anasema lake s's.........Sadifa akisema hiki, Makando sijui makonda naye anasema Kile,kesho Nape anaibukia kule, mara JK naye kasema Kile......Ili mradi tu mnara uanguke CCM ibaki historia.
jana si tulimsikia sadifa akisema hakuna wa kukatwa jina?
Kajimbange uje na story nyingine nzuri hii imechina kuipangilia umeshidwa mwaka mtakoma kumjua COMRED LOWASSA TUMAINI JIPYA KWA WATANZANIA
Taarifa za uhakika kutoka kwa mmoja wa vigogo wa chama cha mapinduzi unaeleza jinsi ndoto za Lowassa zitavyozimwa. Mkakati huo unaoandaliwa kwa ustadi wa hali ya juu na "Wana usalama" na vigogo wa chama ni kuhakikisha Lowassa hapitishwi KUGOMBEA urais kupitia chama cha mapinduzi. Kamati ya maadili iliyowachukulia hatua vigogo ya chama cha mapinduzi akiwamo Lowassa ni hatua moja wapo ya kuelekea kwenye hitimisho la "grand plan". " Unajua mkakati ulipo mbele ya safari ni kuyakata majina yote ya wale waliopigwa stop na kamati ya maadili, wote watakumbwa na fagio akiwamo sitta, membe, January, wassira na huyo Lowassa, ila mlengwa mkuu ni Lowassa".
Anazidi kueleza kua kukatwa kwa majina ya wale wote waliochukuliwa hatua na kamati ya maadili ni kuondoa manung'uniko kutoka kwa wapambe wa Lowassa kwamba mgombea wao pekee ndio amekatwa jina. "Sasa hapa itakua ngumu sana kwa Lowassa, cz majina yatakatwa yote na lake likiwemo, atalalamikia wapi? Na wote waliokatwa watatii maamuzi ya chama kwa mkakati ulipo, yeye akikisumbua chama si ataonekana anaurafi wa madaraka?". Anazidi kueleza, Hapa zidhani kama atapona tena akisema ajitoe kwenye chama ataonekana ni mtu wa ovyo na msaka madaraka.
KWA WALE TEAM LOWASSA KAZI MNAYO
SOURCE: THE INSIDER (UNCLASSIFIED)
UNCLASSFIED....mtaje sasa..!.....
SOURCE: THE INSIDER (UNCLASSIFIED)
Taarifa za uhakika kutoka kwa mmoja wa vigogo wa chama cha mapinduzi unaeleza jinsi ndoto za Lowassa zitavyozimwa. Mkakati huo unaoandaliwa kwa ustadi wa hali ya juu na Wana usalama na vigogo wa chama ni kuhakikisha Lowassa hapitishwi KUGOMBEA urais kupitia chama cha mapinduzi. Kamati ya maadili iliyowachukulia hatua vigogo ya chama cha mapinduzi akiwamo Lowassa ni hatua moja wapo ya kuelekea kwenye hitimisho la grand plan. Unajua mkakati ulipo mbele ya safari ni kuyakata majina yote ya wale waliopigwa stop na kamati ya maadili, wote watakumbwa na fagio akiwamo sitta, membe, January, wassira na huyo Lowassa, ila mlengwa mkuu ni Lowassa. Anazidi kueleza kua kukatwa kwa majina ya wale wote waliochukuliwa hatua na kamati ya maadili ni kuondoa manunguniko kutoka kwa wapambe wa Lowassa kwamba mgombea wao pekee ndio amekatwa jina. Sasa hapa itakua ngumu sana kwa Lowassa, cz majina yatakatwa yote na lake likiwemo, atalalamikia wapi? Na wote waliok
UNCLASSFIED....mtaje sasa..!
Hapa ndo sasa umeeleweka...! Kaa naye vizuri...atoe data za uhakika ili waje wabanwe vya kutosha...!..... yupo unclassified kwangu its enough, we jua tu ni insider. Always classified to the general population.
Endelea kufikili ni story, unafikili huu ni udaku? atakatwa na wenzie, tuambie atatokea wapi? yeye tu ndio atalalamika? we amini utakalo ila habari ndio hiyo