Lowassa: Rushwa ni kansa inayoitafuna nchi

Lowassa: Rushwa ni kansa inayoitafuna nchi

Ameshindwa kutoa maoni yake juu ya utendaji kazi wa wanawake licha ya kushika nyadhifa kubwa serikalin.Kwa tafsiri yangu ni kwamba ameogaopa kuwapaisha wanawake

2hery we nawe vipi? Amejibu alivoulizwa kua rais ajae inasemekana atakua mwanamke akasema ni mapema kuzungumzia which means hata ungekua wewe ungejibu ndio wakati huna uhakika na taarifa hyo? Lowasa yupa makini sana na hayo maswali ameyajibu systematically.hilo ni jembe
 
Yaaani anataka kuwa Raisi wa nchi anasema rushwa ni Kansa anaulizwa tatizo liko wapi anajibu waulize takukuru, duh, kweli tunahitaji mijadala ya wagombea. Hajui hata tatizo liko wapi, pili Anaona aibu kuzungumzia mchakato wa katiba, ni walewale tu...he is not fit for presidency!!
 
na pia nawe kumbuka mungu alisema usimshuudie mwenzako uongo na amini kabisa ukiambiwa toa vizibitisho kuwa lowasa ni mwiz hautatoa bali utabaki ukisema ni mwiz katika serikali yetu hii ukiwa mtu mwenye kutenda wema na kuwajibisha walaji lazma utengenezewe zengwe na ndio maana tunamuona lowasa ni mwiz wakati wez ni watendaji katika taasisi za serikali na wizara
 
Nyani haoni kunduni yeye Lowasa hizo pesa alikuwa anatoa makanisani na misikitini zilikuwa za halali hakuna kiongozi anatoa rushwa kusaka madaraka kama Lowasa hafai kabisa kuwa kiongozi hana maadili
 
WEW NAE UNAKURUPUKA KWANI YEYE HANA FEDHA ZA KUTOA?KWANI NI KOSA KUSAIDIA MAKANISA? Au kuchangia?KWANI YEYE HANA MIRADI YA KUJIPATIA PESA,,,FISADI NI WEW HAPO SIO LOWASSA ACHA CHUKI ZISIZO NA MAANA WEWE
 
Wangapi wanatoa misaada makanisani,,, misikitini,,ila lowassa akitoa utasikia ni rushwa ama anatafuta madaraka hivi nyie hizi chuki zenu haziishi?
 
Wew unataka nani asaidie?au hadi kiongozi umpendae ww akitoa ndo utasifia?acheni chuki
 
Mbona mtangazaji hakumuuliza hili swali muhimu kuhusiana na yeye kuhusishwa na ufisadi/rushwa ya kampuni ya ufuaji wa umeme ya Richmond iliyomfanya auteme u PM?

Nadhani ujumbe mkuu ktk mahojiano yake na huyo mtangazaji wa DW Radio ilikuwa ni rushwa/ufisadi. Hili swali lilikuwa muhimu aulizwe......" umesema rushwa ni kansa inayoitafuna jamii na taifa. Unazungumziaje wewe kuhusishwa na ufisadi wa Richmond na ni nini uhusika wako ktk sakata hilo?"
 
Unakumbuka ya Salim Ahmed Salim? Mzee wa watu wakampiga fitna za kufa mtu akabaki anashangaa na mpaka leo hana hamu nao kabisa.
Salim nae si walimpa Fitna hao hao wakina mzeee mvi ko naye acha alipwe alichokifanya
 
Yeye kwarushwa ni mkanda wajeshi lowassa nimtoa rushwa na mla rushwa atakuwa rais wa monduli
 
Dalili za Lowasa kuwa Rais wa nchi hii zinazidi kujidhihirisha. Sioni ni kitu gani kitamfanya aikose nafasi hiyo
 
Mbona mtangazaji hakumuuliza hili swali muhimu kuhusiana na yeye kuhusishwa na ufisadi/rushwa ya kampuni ya ufuaji wa umeme ya Richmond iliyomfanya auteme u PM?

Nadhani ujumbe mkuu ktk mahojiano yake na huyo mtangazaji wa DW Radio ilikuwa ni rushwa/ufisadi. Hili swali lilikuwa muhimu aulizwe......" umesema rushwa ni kansa inayoitafuna jamii na taifa. Unazungumziaje wewe kuhusishwa na ufisadi wa Richmond na ni nini uhusika wako ktk sakata hilo?"

Yaani anahonga hadi DW radio...
 
Back
Top Bottom