Lowassa: Rushwa ni kansa inayoitafuna nchi

Lowassa: Rushwa ni kansa inayoitafuna nchi

hizo za rushwa za chini elfu 50 hata mkuu wa kaya anajeuri ya kusemea ila kaa la moto ni rushwa za mikataba,siku nikisikia lowasa anasema kuna mkataba wa kifisadi akiukemea kwa nguvu zote na mimi ntakuwa teamlowasa
Wala hapo haongelei rushwa anatia tu maji agenda kama chama chao kinavyodai rushwa sio ya mtu mmoja ni taifa zima tumeoza wala tusinyoosheane vidole lakini wenye akili wanajua rushwa ya mbuzi na kondoo siyo inayoangamiza taifa wala kukausha madawa hospitalini
 
Umeona eeh! rafiki. Huyu jamaa yuko Serikalini tangu awamu ya kwanza. Ni fisadi na mwizi mkubwa. Alishiriki katika mbinu chafu za kumchafua SAS kwa kutoa mabilioni ya pesa za mafisadi ili kuhakikisha SAS hapitishwi kama mgombea wa CCM na alishaanza mbinu chafu za kugawa rushwa ya mamilioni katika nyumba za ibada mbali mbali nchini mpaka ikabidi apigwe stop na chama chao cha wahuni. Mpaka leo ameshindwa kueleza umma wa Watanzania pesa zile alizokuwa anagawa nyumba za ibada ni za nani baada ya kutakiwa kuweka hadharani mwenye mapesa yale. Hafai huyu fisadi ni wa kupiga chini tu.

Na yeye ndiye one of the waasisi maana ile ya Richmond hajakanusha hadi leo.lol!
 
Sijawahi au kumuona Lowasa Bungeni au kwenye mikutano anakemea Rushwa na Ufisadi uliokithiri nchi hii.

Huwa nasikia elimu, vijana nk. Hata sasa imefikia wahisani kukata misaada lakini sijawahi kumsikia Lowasa anakemea ufisadi. Mwenye evidence aweke hapa.

NB: Nahitaji ushahidi wenye mashiko, pia nahitaji angalau matukio matatu kwa kuwa Lowasa amekuwa kiongozi tangu ujana wake

Unatuharibia bro! Wengine tushamlia uyu mkuu. sasa thread kama hizi,unaturudisha nyuma sana.

Watu wa #Pinda hatutawapona kwa style hii ndan ya CCM.

So,kuwa na huruma na wenzio. Hatuna ajira yyte,jamaa ndo #Salary-Slip yetu.
HOPE UMENISOMA NDUGU. CHONDECHONDE.
 
anapoteza muda tu kwa sababu yy mwenyewe ndio mdau mkubwa
 
msamiati mpya RUSHWA inaitwa CHAKULA YA CCM.sentensi (asikari kafukuzwa kazi kwa kula chakula ya ccm) .PCCB kirefu chake kipya, KUZUIA NA KUPAMBANA NA CHAKULA YA CCM. hii ni kwa faida ya watanzania wanyonge waliochoshwa na rushwa. ccm.jpg
 
Rushwa ni cancer ndani ya CCM na sj ndani ya jamii. CCM ndiyo inayosambaza cancer hiyo ndani ya jamii
 
ana majibu ya short cut utafikiri anajibu swali la kipimajoto la ITV! Inawezekana uwezo wake wa kuchambua mabo ni mdogo sana au hataki kuweka mambo wazi akidhani ndio kinga yake tusijue weakness zake.kwa taarifa yake tunamfahamu sana hata kabla ya richmond akae pembeni uraisi si saizi yake
 
Taarifa za uhakika kutoka kwa mmoja wa vigogo wa chama cha mapinduzi unaeleza jinsi ndoto za Lowassa zitavyozimwa. Mkakati huo unaoandaliwa kwa ustadi wa hali ya juu na “Wana usalama” na vigogo wa chama ni kuhakikisha Lowassa hapitishwi KUGOMBEA urais kupitia chama cha mapinduzi. Kamati ya maadili iliyowachukulia hatua vigogo ya chama cha mapinduzi akiwamo Lowassa ni hatua moja wapo ya kuelekea kwenye hitimisho la “grand plan”. “ Unajua mkakati ulipo mbele ya safari ni kuyakata majina yote ya wale waliopigwa stop na kamati ya maadili, wote watakumbwa na fagio akiwamo sitta, membe, January, wassira na huyo Lowassa, ila mlengwa mkuu ni Lowassa”.



Anazidi kueleza kua kukatwa kwa majina ya wale wote waliochukuliwa hatua na kamati ya maadili ni kuondoa manung’uniko kutoka kwa wapambe wa Lowassa kwamba mgombea wao pekee ndio amekatwa jina. “Sasa hapa itakua ngumu sana kwa Lowassa, cz majina yatakatwa yote na lake likiwemo, atalalamikia wapi? Na wote waliokatwa watatii maamuzi ya chama kwa mkakati ulipo, yeye akikisumbua chama si ataonekana anaurafi wa madaraka?”. Anazidi kueleza, Hapa zidhani kama atapona tena akisema ajitoe kwenye chama ataonekana ni mtu wa ovyo na msaka madaraka.


KWA WALE TEAM LOWASSA KAZI MNAYO


SOURCE: THE INSIDER (UNCLASSIFIED)
 
Chama kikikata majina ya wagombea waliopendekezwa na wanachama kitakuwa kimejiua chenyewe na kuwainua UKAWA
 
Akate nani jina , dhubutu. Kwani ccm ni akina nani, nape na makonda...ebo. Kumzuia Lowassa ni sawa na kuzuia jua kuzama jioni...unaweza. Wataangaika sana lakini safari ya matumaini iko palepale
 
Hiki chama bana kinanifurahisha sana huwa wanamikakati mno na fitna nyingi....wakikwabia no ujue ni no tu....hata kama utapiga kelele hadi povu likutoke.
 
Watakao kubali majina yakatwe ni wachache kukiko watakaokataa. Kura ya kulikata jina itashindikana na hivi mnam pre empty tutaona
 
Taarifa za uhakika kutoka kwa mmoja wa vigogo wa chama cha mapinduzi unaeleza jinsi ndoto za Lowassa zitavyozimwa. Mkakati huo unaoandaliwa kwa ustadi wa hali ya juu na “Wana usalama” na vigogo wa chama ni kuhakikisha Lowassa hapitishwi KUGOMBEA urais kupitia chama cha mapinduzi. Kamati ya maadili iliyowachukulia hatua vigogo ya chama cha mapinduzi akiwamo Lowassa ni hatua moja wapo ya kuelekea kwenye hitimisho la “grand plan”. “ Unajua mkakati ulipo mbele ya safari ni kuyakata majina yote ya wale waliopigwa stop na kamati ya maadili, wote watakumbwa na fagio akiwamo sitta, membe, January, wassira na huyo Lowassa, ila mlengwa mkuu ni Lowassa”. Anazidi kueleza kua kukatwa kwa majina ya wale wote waliochukuliwa hatua na kamati ya maadili ni kuondoa manung’uniko kutoka kwa wapambe wa Lowassa kwamba mgombea wao pekee ndio amekatwa jina. “Sasa hapa itakua ngumu sana kwa Lowassa, cz majina yatakatwa yote na lake likiwemo, atalalamikia wapi? Na wote waliokatwa watatii maamuzi ya chama kwa mkakati ulipo, yeye akikisumbua chama si ataonekana anaurafi wa madaraka?”. Anazidi kueleza, Hapa zidhani kama atapona tena akisema ajitoe kwenye chama ataonekana ni mtu wa ovyo na msaka madaraka. KWA WALE TEAM LOWASSA KAZI MNAYO SOURCE: THE INSIDER (UNCLASSIFIED)
Mbona sitta hayupo kwenye kundi la viongozi waliokuwa kwenye kifungo? kati ya makada walioitwa kamati ya maadili sitta hakuwepo
 
Hakuna wa kuweza kuondoa jina la EL, maana CCM ndio EL na EL ndio CCM.
 
Hii ipo very low sana kwa wazee waliojipanga kupata top jobs!
 
Mbona sitta hayupo kwenye kundi la viongozi waliokuwa kwenye kifungo? kati ya makada walioitwa kamati ya maadili sitta hakuwepo

Sitta atajumuishwa si kwa sababu aliitwa kwenye kamati ya maadili, its only for one purpose kuondoa manung'uniko kutoka kambi ya Lowassa.
 
jana si tulimsikia sadifa akisema hakuna wa kukatwa jina?
 
CCM wamekaa kifitina fitina......wamefitini Nyumba ya jirani (Chadema) wameona ishu nzito s's wanajifitini wenyewe........kwani tukisema CCM ni kina nani hasa mpk wengine waundiwe zengwe kuonekana kama Wao si family, au ndio ule msemo CCM ina wenyewe?
 
Back
Top Bottom