chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,134
EL, suala la rushwa......It begins with YOU!
Maamuzi magumu yanahitajika na Mh Lowasa anaweza akipewa nafasi
![]()
Ameshindwa kutoa maoni yake juu ya utendaji kazi wa wanawake licha ya kushika nyadhifa kubwa serikalin.Kwa tafsiri yangu ni kwamba ameogaopa kuwapaisha wanawake
Hivi huyu ndo marehemu Lowasa?
EL, suala la rushwa......It begins with YOU!
nakwambia hawa watu wanatufanya sisi mazuzu sana aise
Mwaka huu mtauwa sana walemavu wa Ngozi (Albino) kwaajili ya Lowassa!