The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,258
- 17,454
CCM hawakusema watawafukuza. Wanawataka waachie nyadhifa zao kwenye chama. Watabaki kuwa "wanachama watiifu milele"! Kuna wakati JF tunapotoshana sana na hii inatokana na wanaodandia thread kwa mbele.
Hakuna aliyesema wanafukuzwa uanchama ila uongozi!! Sijui unataka kusema kuna tofauti gani kati ya kuachia wazifa kwa kulazimishwa (kupewa siku 90) na kufukuzwa kwenye uongozi?? Kama CCM wangekuwa serious wangewalazimisha kuachia ngazi siku ileile na si kuwapa siku 90. Mbona waliweza kilazimisha kamati kuu kuachia ngazi sasa walishindwaje kuwavaa hao mapacha watatu??