Lowassa: Rais Magufuli havumiliki

Lowassa: Rais Magufuli havumiliki

Kwa kauli hii, hivi kweli hawezi kuwa na Mkono Kibiti huyu Mpenda sifa na madaraka?

Yes reasoning yako ni sahihi.. Lakini mkuu wa kaya ana mkono wake kule Kibiti ili tu watu wamuogope..!!
 
Kwani Seth na Ruge walipewa Ubalozi wakat wanasubiri kushtakiwa?

Kabla ya kuanza 'kushughulikiwa' alikuwa anaitwa Dkt Dau, JPM kamuongezea hadhi anaitwa Balozi Dkt Dau!
Magori vipi zile harakati zake za kupigania u DG NHIF?

We vuta subira usiwe na haraka balozi dau kuna siku atatuwakilisha segerea,magori si alikugonga akakumwaga lazma umkumbuke,
 
We vuta subira usiwe na haraka balozi dau kuna siku atatuwakilisha segerea,magori si alikugonga akakumwaga lazma umkumbuke,
Mjadala wa Kawaida tu Hajjat Celina ushaanza Kashfa na Matusi vepee?

Maisha bila ya Chuki yanawezekana, jifunze Hilo linawezekana!
 
Hivi mtu aliyeshinda urais kwa njia ya halali anaweza kuogopa mikutano ya vyama vya siasa ? Kuwa mwangalifu sana unapoweka andiko lako hapa jf , ukileta ujuaji wadau watakuwekea matokeo halali ya uchaguzi mkuu wa 2015 ili udhalilike .
maviiii yapite kooni,, hebu wambie hao wadau waniwekee hayo matokeo "halali" nidhalilike!! lowassa hakua na mbavu za kumshinda Magufuli labda kwa kuwatumia wale "wataalamu" wake wa IT
 
Ni muda tu naye atakamatwa kwa ushahidi kutoka kwa waliomnanga ni fisadi kisha wakampa nafasi ya kugombea Urais
Kama yeye atakamatwa na huyo wa msoga nae ajiandae na muuza nyumba za serikali ajue akiondoka katika madaraka pia tutamtia nguvuni.
 
Mi hapa ndo huwa napishana na watu wengi, Lowassa alishinda uchaguzi upi jamani! Ana viti vingapi vya wabunge na madiwani,na huku kote waliiba kura? Jamani ebu tuweke ushahidi wa hizi tuhuma!! Binafsi naamini Maalim self alishinda chaguzi zote, hata idadi ya wabunge wa chama chake ilikuwa ni ushahidi tosha. Jamani tuweeni wakweli ni hayo tu.
Hoja yako haina chembe ya ukweli! Mbona kuna majimbo ambayo mbunge aliyeshinda hana wingi wa madiwani!
 
Safi sn Lowasa mtu wa watu sio yule mjingamjinga mwenye mihemko mikurupuko na kutafuta sifa za kijjnga
 
Endelea kuimba kuwa ni fisadi. Hivi kwa ufinyu wa akili yako umeshindwa kung'amua kuwa EL sio fisadi? Angekuwa fisadi halafu uchanganye na usongo alio nao mkulu ktk kuwashughulikia wapinzani angebaki salama hadi leo hii? Epuka akili za kupikiwa.
Pengine amesema ukweli mkuu....Ufisadi wa Bormberdier,chato, kivuko, nyumba za serikali, lugumi, escrow, Richmond, epa, rada, madini, na upumbavu mwingine wote wa ccm chanzo ni lowasa
 
Back
Top Bottom