Mwacheni huyo mzee hatua iliyofikiwa ya Escrow siyo mbaya insubiriwa wale wa Barclays baada ya hapo hakuna kusimama hadi Rich Monduli alafu ndio atajua kwamba yule bwana havumiliki. The clock is tickingMjinga sana,,anasubiri atafuniwe yeye ameze tu
Mwacheni huyo mzee hatua iliyofikiwa ya Escrow siyo mbaya insubiriwa wale wa Barclays baada ya hapo hakuna kusimama hadi Rich Monduli alafu ndio atajua kwamba yule bwana havumiliki. The clock is tickingMjinga sana,,anasubiri atafuniwe yeye ameze tu
Angekuwa hivyo kama unavyosema wewe tungeshashuhudia umwagaji damu mkubwa 2015 kwa dhulma aliyofanyiwa.
Lakini kwakuwa anapenda amani,alichagua ushindi wa amani.
Muonage basi aibu mnapounda propaganda zenu za kipuuzi dhidi ya huyu Mzee pendwa.
Hao wameshika mpini au unasahau hilo?Kama yeye atakamatwa na huyo wa msoga nae ajiandae na muuza nyumba za serikali ajue akiondoka katika madaraka pia tutamtia nguvuni.
Dogo na team yake wako vizuri sana!!!!!!!!Hivi Millard Ayo ndiye mwandishi Mwenye mtandao mpana kuliko chombo chochote cha habari nchini kiasi cha kuwepo kila mahali...
AVATAR YAKO IMENIKUMBUSHA HIYO SEASON. NI TAMU SANAsubirini tingatinga na team sepetu wako
Waambie chiefmtz, naona wanaongeeeeea!We acha kuongea usichokijua. Bila Intel iliyotulia, alichopanga Hugo Mpenda Madaraka kutufanyia Watz, hakuna mtu angepangua.
Kumbe ha ha haasassaMkuu anawachunga ukawa
Kwakweli huyu ni Rais wa mioyoni mwetu.Angekuwa hivyo kama unavyosema wewe tungeshashuhudia umwagaji damu mkubwa 2015 kwa dhulma aliyofanyiwa.
Lakini kwakuwa anapenda amani,alichagua ushindi wa amani.
Muonage basi aibu mnapounda propaganda zenu za kipuuzi dhidi ya huyu Mzee pendwa
Umeona leo alivyomake headlines? Walidhani wanamkomoa kumbe wamempa kickKwakweli huyu ni Rais wa mioyoni mwetu.

We acha kuongea usichokijua. Bila Intel iliyotulia, alichopanga Hugo Mpenda Madaraka kutufanyia Watz, hakuna mtu angepangua.
Heli yeye mgonjwa alosema yy yuko wp?Ugojwa bado unamdusumbua alosema marehem mtikila
Kwa nn usipeleke baba ako akafungwa?Kawaumiza? Polisi wenu,TAKUKURU wenu,magereza yenu,mahakama zenu....
Kwa nini mnamuacha awe huru kiasi hicho?
Hizo nguvu zinazotumika kumnyamazisha Lisu kwa nini zisielekezwe kwa huyu fisadi afungwe ili taifa liendelee na mengine?
Hadi mnatuchosha na maneno yenu ya kipuuzi.
wacha waone nini kilifanywa na sisi wa emHoja yako haina chembe ya ukweli! Mbona kuna majimbo ambayo mbunge aliyeshinda hana wingi wa madiwani!
Hujui kitu .