sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,634
- 11,691
Unaweza kuta hajaongea hicho kilichoandikwa..ila sababu magazeti yanatafuta kiki linafikiri likiandika hivyo litauza kumbe linazidi kumuangamiza huyu Mzee..mbowe naona hataki kuandikwa tena maana hizo articles za Tanzania daima zinazidi kumuangamiza..bahati mbaya ndio chombo chao kikuu cha habari..
