Lowassa: Rais Magufuli havumiliki

Lowassa: Rais Magufuli havumiliki

Havumiliki hata kidogo kwa kweli, na tatizo ni bunge kuwa butu na kufia chama, rais hawezi kuendesha nchi kwa maamuzi yake na si maamuzi ya bunge, kufikia kujijengea chato bila bajeti ya bunge ni ulafi usio vumilika, huyu jamaa atakuwa kama zuma na muda utafika hata ma ccm yatamchoka.
 
Angekuwa hivyo kama unavyosema wewe tungeshashuhudia umwagaji damu mkubwa 2015 kwa dhulma aliyofanyiwa.

Lakini kwakuwa anapenda amani,alichagua ushindi wa amani.
Muonage basi aibu mnapounda propaganda zenu za kipuuzi dhidi ya huyu Mzee pendwa.
Yaani mi nashangaa sana wakilala wakiamka wanamuota Babu yetu yeye hana mda! aliyepewa amepewa tu hawawez kumzima na fitina zao.
Hivi Eid sijakaribishwa eh?
 
Mimi nilikuwa namkubali sana millard but toka ageuke wakala wa mitandao ya simu nimemkata coz kidogo tuu Video haandiki habari siku hizi, Wakati hali halisi ya Maisha ya watanzania sasa ni hovyo
 
Hivi Millard Ayo ndiye mwandishi Mwenye mtandao mpana kuliko chombo chochote cha habari nchini kiasi cha kuwepo kila mahali...
Jadilini kauli ya El sio mmemgeukia Millard wa watu,ccm bana chenga sana.
 
Yaani mi nashangaa sana wakilala wakiamka wanamuota Babu yetu yeye hana mda! aliyepewa amepewa tu hawawez kumzima na fitina zao.
Hivi Eid sijakaribishwa eh?

Uwiiiiiii uwiiiiiii mwenyewe nipo mkoani huku cuzoo, Eid nimeila kimazabe kweli yani.
Nisamehe bure mpenzi wangu.

Lowassa ni tembo wa siasa aliyeshindikanika nchi hii.
Waliomjaribu wote hawajabaki salama.
 
Back
Top Bottom