Lowassa: Rais Magufuli havumiliki

New-Doc-2017-06-25_13-730x950.jpg
Kakanyagwa ndo maana anapiga kelele
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Endelea kuimba kuwa ni fisadi. Hivi kwa ufinyu wa akili yako umeshindwa kung'amua kuwa EL sio fisadi? Angekuwa fisadi halafu uchanganye na usongo alio nao mkulu ktk kuwashughulikia wapinzani angebaki salama hadi leo hii? Epuka akili za kupikiwa.
Arudishe pesa yetu ya richmond ndio tutakuelewa we nyumbu
 
Angekuwa hivyo kama unavyosema wewe tungeshashuhudia umwagaji damu mkubwa 2015 kwa dhulma aliyofanyiwa.

Lakini kwakuwa anapenda amani,alichagua ushindi wa amani.
Muonage basi aibu mnapounda propaganda zenu za kipuuzi dhidi ya huyu Mzee pendwa.
Mi hapa ndo huwa napishana na watu wengi, Lowassa alishinda uchaguzi upi jamani! Ana viti vingapi vya wabunge na madiwani,na huku kote waliiba kura? Jamani ebu tuweke ushahidi wa hizi tuhuma!! Binafsi naamini Maalim self alishinda chaguzi zote, hata idadi ya wabunge wa chama chake ilikuwa ni ushahidi tosha. Jamani tuweeni wakweli ni hayo tu.
 
Dada Celina Habari zako? Dkt Dau anakusalimia!
Tunamngoja kisutu we vuta subira,hats Seth na ruge imechukua miaka 2 na sasa wako selo, nende kwenye gorofa lake pa karibu na ubalozi wa ufaransa ulione limeanza kuota majani ndo utajua dau anashughulikiwaje
 
Endelea kuimba kuwa ni fisadi. Hivi kwa ufinyu wa akili yako umeshindwa kung'amua kuwa EL sio fisadi? Angekuwa fisadi halafu uchanganye na usongo alio nao mkulu ktk kuwashughulikia wapinzani angebaki salama hadi leo hii? Epuka akili za kupikiwa.
Alisha lishwa vibama vya njano na damu ya kijani unazani atafikiria kwa kutumia ubongo?
 
Tunamngoja kisutu we vuta subira,hats Seth na ruge imechukua miaka 2 na sasa wako selo, nende kwenye gorofa lake pa karibu na ubalozi wa ufaransa ulione limeanza kuota majani ndo utajua dau anashughulikiwaje

Kwani Seth na Ruge walipewa Ubalozi wakat wanasubiri kushtakiwa?

Kabla ya kuanza 'kushughulikiwa' alikuwa anaitwa Dkt Dau, JPM kamuongezea hadhi anaitwa Balozi Dkt Dau!
Magori vipi zile harakati zake za kupigania u DG NHIF?
 
Havumiliki kwa lipi?
Unayesema havumiliki, wewe ndiyo huvumiliki hata kidogo.
 
Angekuwa hivyo kama unavyosema wewe tungeshashuhudia umwagaji damu mkubwa 2015 kwa dhulma aliyofanyiwa.

Lakini kwakuwa anapenda amani,alichagua ushindi wa amani.
Muonage basi aibu mnapounda propaganda zenu za kipuuzi dhidi ya huyu Mzee pendwa.
eti kwa dhulma alofanyiwa!! ukiitwa utoe ushahidi wa hiyo dhulma utaunyea wapi? lowassa hakua na uwezo wa kumshinda Magufuli, fair n square!! alishindwa then, na hata sasa hana uwezo wa kumshinda Magufuli.. tatizo hamjuagi hata hesabu ndogo tu
 
Hivi mtu aliyeshinda urais kwa njia ya halali anaweza kuogopa mikutano ya vyama vya siasa ? Kuwa mwangalifu sana unapoweka andiko lako hapa jf , ukileta ujuaji wadau watakuwekea matokeo halali ya uchaguzi mkuu wa 2015 ili udhalilike .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom