Lowassa ni Powerful Kuliko ya JK?!

Lowassa kamanda wa vita ya ufisadi.
sasa kaungana na sendeka,sita na mwakyembe
Mafisadi mwisho wao umefika
OTIS
 
Kama MM alivyoelezea ni kweli kwamba EL ananguvu kwa wanaomuamini, hasa watu kama akina Pasco, ambao wameamua kuuza utu wao kwa ajili ya mlo tu.
Ni hatari sana kuwa na aina ya watu wenye upeo kama wa Pasco.
Pasco anaonekana kama anawakilisha watu wenye kuuza utu wao kwa ujira wa kujidhalilisha.
Hatuwezi kuijenga tanzania imara kama tutaendelea kuwatumikia wenye pesa.
What happened mkuu?
Back to the topic, labda kama EL ana nguvu ndani ya chama, then pengine naweza kukubaliana na Pasco kwasababu chama ndo kinachoshika hatamu.
 
mie sijawahi mkubali na sitakaa nimkubali.

Zile sinema za kupokea ripoti chini ya mti akiwa PM sikuwahi zinunua, director hakuni-impress.
 
mtoa mada ananiacha hoi sana.
Hili swali ni sawa na kukutana na mtu ambaye hamjaonana siku nyingi afu anakuambia neno la kwanza tu 'mie na mke wangu hatujagombana'

maswali ya aina hii huwa na maana ya 'niokoeni, ndoa haiendi tena'

sasa hawa tunaowapambanisha hapa sjui ni kwa mantiki gani.

What happened mkuu?
Back to the topic, labda kama EL ana nguvu ndani ya chama, then pengine naweza kukubaliana na Pasco kwasababu chama ndo kinachoshika hatamu.
 
'

Hakika mwenye nguvu ni aliye madarakani mwenye uamuzi wa kuamua hatima ya mwenzie!!! sas huo kuwa EL anacapabilities na command zipi au hiyo mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ambayo ni mwenye akili kacheza mchezo wa mchawi mpe mwana aleehe.
Tusubiri majibu ya Pasco et al
 
mtoa mada ananiacha hoi sana.
Hili swali ni sawa na kukutana na mtu ambaye hamjaonana siku nyingi afu anakuambia neno la kwanza tu 'mie na mke wangu hatujagombana'

maswali ya aina hii huwa na maana ya 'niokoeni, ndoa haiendi tena'

sasa hawa tunaowapambanisha hapa sjui ni kwa mantiki gani.
Ni kweli hakuna mantiki, unless JK angekuwa na mpango wa kugombea tena, maybe tungezungumzia how electable is he vs JK,

Or maybe he should be compared to other "presidential contenders"

Otherwise bado nasubiri kuelezwa hizo nguvu zake za kumzidi JK.
 
Angekuwa poweful kuliko Jk angekuwa M/kiti.
Mwizi tu huyo, anajua kuteka akili za wenye njaa kama akina Pasco.
 
Pasco unajua kuwatetea waajiri wako. Kwani EL hana GOOD SENSE OF HUMOUR? yeye umempa POWER, COMMAND & CAPABILITIES

Mambo ya Bahasha za Khaki sio mchezo
 
Power Command and Capabilities in what terms?

Na kama anazo hizo nguvu, urais anautaka wa nini sasa?
 
Vijana wake Bashe, Malissa na Ole Millya mbona majina yao CCM hawakuyarudisha kwenye wagombea ubunge wa EAC? Please dont say hawakuutaka, sababu kuna taarifa za uhakika kuwa waliutaka.
 
Wanabodi,

Nimekaa mahali jioni na watu fulani, baada ya mazungumzo haya na yale, jina la EL likaibuka, ikaelezwa kuwa EL is more powerful than JK and that no one can do anything to him. He command highest respect and he is very powerful such that he is untouchable!. Jee ni kweli EL ni stronger, more capable na more powerful than JK?.

NB. Hapa naulizia kuhusu power comand na capabilities, hatuzungumzii issues za ufisadi. Kama hujui lolote kuhusu power, command na capabilities naomba usichangie!.

Pasco.
umetumwa na nani wewe
 
Lowassa is currently the most influential and charismatic politician in this land; there is no question about that. Despite ill opposition by his enemies, which culminated in the Richmond scandal, he has surprisingly managed to amass even more support from the public. Those who think there is anyone to defeat his presidential ambitions, must be too delusional.
 
Lowasa nguvu 9 akili 1.ona kikwete alivyomwacha solemba anabaki kuchangisha harambee.na makanisani tutamtoa nduki
 
Laigwanan ana power na mvuto wa kisiasa kuliko JK. Lowasa akikohoa tu kwenye Media na mitandao ya kijamii yote kunakua na breaking News.
Jk akitoa speech kwenye Tv watu wengi huwa tuna badrisha channel.
 
Back
Top Bottom