Lowassa ni Powerful Kuliko ya JK?!

Duh!! Haya mambo ndo wakti wake huu!! Wengine kufa kufaana, wengine, kujikomba ndo dawa!! Aru muradi tu kila mtu apate chake..
 
Ni kweli ana nguvu sana; kwa wanaomuamini. Ni kama nguvu ya mganga wa kienyeji hivi. Mganga wa kienyeji anaweza kuwapa watu sababu ya kufuata masharti yake na kumsikiliza lakini nguvu ya dawa zake na maagizo yake yanategemea tu kama watu wanamuamini. Lakini usipomwamini yote anayoyafanya yanaonekana kama vichekesho fulani hivi. Fikiria wakati watu wengine wanaogopa kuchukua kibuyu kilichozungushwa hirizi kwa sababu wanaogopa anakuja mtu mwngine anachukua na kunywa maji kwa sababu alikuwa na kiu!

MM Unatisha
Yaani umezipunguza nguvu za EL na kuzifanya kwa ndogo kweli kweli, no umezifanya kuwa weakness fulani hivi, sababu kwa mfano wa hayo maji yaliyonywewa unamaanisha kwamba kuna baadhi ya anga EL akiingia ama akizifikiria yeye mwenyewe inambidi kuzisupress power zake.
 
Mkitaka kujua nani mwenye nguvu, jiulizeni hivi:
JK aamuru Luwasa akamatwe, na Luwasa aamuru JK akamatwe. Amri ya nani itatekelezwa? Hili swali limewekwa humu kujaribu kutoa uelekezi fulani tu, Pasco yupo kwenye payroll ya Monduli
 
Watanzania wanapenda ushabiki wa kijingajinga na ndio maana watu kama Lowasa wanaendelea kupeta. Watu walikuwa wanamsifia Mobutu na akaondolewa na askari wenye kandambili.
LOWASSA LOWASA, EL, nakuunga mkono watu wanaomshabikia sio wanaomjua subirini mwaka huu ndio uchaguzi wa NEC na CC km atapita ndio mjue ana nguvu kuliko JK
hii kumpimisha na malipo yetu ya bill za umeme wa kila mwezi kweli ana hela ya kununua lolote hata Arumeru je? hao wajumbe wapya watampitisha aingie CC?
 
kweli watanzania sie wapuuzi, mmesema jk hakuwa mshindi halali leo hii ni rais kuonyesha anakila kitu yaani yeye ni amirijeshi mkuu wa tanzania, rais aliyefanikiwa kuuvunja mtandao wa majambazi tz anafananishwa na el huu ni upuuzi mtupu
 
Wanabodi,

Nimekaa mahali jioni na watu fulani, baada ya mazungumzo haya na yale, jina la EL likaibuka, ikaelezwa kuwa EL is more powerful than JK and that no one can do anything to him. He command highest respect and he is very powerful such that he is untouchable!. Jee ni kweli EL ni stronger, more capable na more powerful than JK?.

NB. Hapa naulizia kuhusu power comand na capabilities, hatuzungumzii issues za ufisadi. Kama hujui lolote kuhusu power, command na capabilities naomba usichangie!.

Pasco.

What kind of analysis you are trying to impose?
EL vs JK - Tanzania (ufisadi) = Utopia
It is imperative the real analytical perspective to consider circumventingenvironment; political, social, economic et la.
No sane person will allow anybody to pay her/him in exchange for foolishness.
 
Kweli ananguvu kwakuwa anagawa pesa sio kama anapendwa pesa ndio zinazuzua watu na alipokuwa pm alipanga vilaza wengi kwenye madaraka anapenda watu wanaomuabudu sio watu bright ila ukimcompare na jk ni sawa na mti wa mpapai kwa mpingo

jk anafikra finyu mno na mtu wa mizaha tu jua kalulu!
 
kweli watanzania sie wapuuzi, mmesema jk hakuwa mshindi halali leo hii ni rais kuonyesha anakila kitu yaani yeye ni amirijeshi mkuu wa tanzania, rais aliyefanikiwa kuuvunja mtandao wa majambazi tz anafananishwa na el huu ni upuuzi mtupu
Mkuu naomba ufafanuzi hapo kwenye RED ni mtandao wa majambazi wepi aliofanikwa kuuvunja!!??.....
 
I agree that EL is more powerful than JK. He has money. A lot of it. In TZ politics you need money to buy people. And he sure does all of this. But remember one thing. He has information which can ruin people. That is ultimate power.

Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
 
JK has power but he dont know how to use it while EL does have power but when he had it he knew how to exercise it, however he is the informal leader because of the grounds he build when he was a PM. JK is trying to be more infuential than relying on power he has but the problem is that he dont have the followers who believe in him or he dont have the grounds for leadership.
By definition; Power is the ability or opportunity to do something or to act(Oxford Advanced Learners Dictionary 5th Edition 1995.
By this definition EL is powerful compared to JK because he is out of the system but still he can be able to act or make others to act.
 
hivi hizi post za kudiscuss watu kwa nini zinaongezeka kila kukicha jamani??mnaniangusha wanajamvi wenzangu........... lets act like real great thinkers jamani,
 
JK has power but he dont know how to use it while EL does have power but when he had it he knew how to exercise it, however he is the informal leader because of the grounds he build when he was a PM. JK is trying to be more infuential than relying on power he has but the problem is that he dont have the followers who believe in him or he dont have the grounds for leadership.
By definition; Power is the ability or opportunity to do something or to act(Oxford Advanced Learners Dictionary 5th Edition 1995.
By this definition EL is powerful compared to JK because he is out of the system but still he can be able to act or make others to act.

Mbona defintion yako imekaa kiwongo wongo sana,ebu acha hizo tizama definition zilizokwenda shule za kizungu za oxford kwa sasa ukiachia definition za kiswahil ambazo zina maanisha Kikwete ndiye mwenye mmlaka.
1: If someone has power, they have a lot of control over people and activities.
2: Your power to do something is your ability to do it.
3: If it is in or within your power to do something, you are able to do it or you have the resources to deal with it.
4: If someone in authority has the power to do something, they have the legal right to do it.
5: If people take power or come to power, they take charge of a country's affairs. If a group of people are in power, they are in charge of a country's affairs.
6: You can use power to refer to a country that is very rich or important, or has strong military forces.
7: The power of something is the ability that it has to move or affect things.

Tusaidie wewe na Pasco mnamaanisha Power ipi?
 
Wanabodi,

Nimekaa mahali jioni na watu fulani, baada ya mazungumzo haya na yale, jina la EL likaibuka, ikaelezwa kuwa EL is more powerful than JK and that no one can do anything to him. He command highest respect and he is very powerful such that he is untouchable!. Jee ni kweli EL ni stronger, more capable na more powerful than JK?.

Pasco.
Mtu powerful namna hii alikujaje kushindwa uchaguzi?.
Kuanzia leo mpaka atakapo pumzishwa kwenye makao yake ya milele, as my tribute to this fallen hero, let's celebrate the life and the time of Edward Lowassa.

RIP Shujaa Edward Lowassa, umepigana vita vilivyo vitakatifu, imani umeilinda.
Bwana alileta Bwana ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.

Paskali
 
Back
Top Bottom