Nimesoma Nimekuta machozi yanatoka, eamamKu Lowasa!
Ha ha haa Lowassa eeh
![]()
Halafu mtu kama huyu ana pata nguvu bila aibu kabisa eti anasupport mapinduzi ya Misri kwa kusema eti ni matokeo ya viongozi kujiribikizia mali na ku create pengo kubwa baina ya tajiri na masikini!
Sasa wewe ulitaka amtetee Mubarak, aonekane mbaya kwa jamiii!!! Anacomment kwa kuangalia upepo unaelekea wapi!
Hapa Mrema kavaa raba nyeupe? Duh, ukilinganisha suti zao yeye na Lowassa unachokaHa ha haa Lowassa eeh
![]()