ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 443
nyie watu kiboko isee!!!!!!!!!:clap2:
Wengine tunatumia simu hutuwezi kuzipakuwa kwa njia nyingine?
The good thing about Gods creatin is that "there is DEATH" kila mtu atakufa eventually.
Mtu mmoja anajilimbikizia mali kiasi hiki na kuumiza watu wengi utafikiri ataishi forever kumbe laa.
Ila JF ni kiboko mpaka data FIU mnazipata... this is beyond what i was thinking JF is!
![]()
Omar Ali (left) financial advisor and Suleiman Dualeh, managing director Integrated Property Investments sign a financing agreement with Shelter Afrique for construction of the satellite town. Photo/LIZ MUTHONI
source : The EastAfrican
Haya mambo tusubiri tuone, maana hiyo kampuni ya Integrated ni ya Wasomali ambao ni matajiri sana wana kampuni makubwa nje, lakini hebu tuangalie siri ya biashara za Wasomali kushamiri kwa kasi katika miji ya Dar es Salaam na Mombasa na hali ya sasa ilivyo, je Usalama wetu uko wapi?
Naambiwa hawa Intergrated wanannua majumba ya watu na viwanja kwa fujo maeneo ya Kurasini karibu na bandari yetu, je, watu wa TISS mpo? Mnalijua hilo maana hata watu nyeti wamelazimika kuuza nyumba zao huko maana jamaa wanatoa Cash kwa bei utakayo wewe
Naamini watu mtaweza kukipakua na kutoa maoni yenu...
Kumbuka: Nyaraka hizi ni za SIRI KUBWA
Yaani, Lowassa inabidi afanye anachotakiwa kufanya vingineevyo tutamkalia mgongoni hadi tuhakikishe hizo njozi zake zinapeperuka kama ndege wanaofukuzwa mpungani.