Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

Ops,ni bahati tu wao ndo wamekamata KISU,....ngoja kila mtu apate njaa na watu watambue kwamba wanakula nchi kwa mrija hakuta kalika hapa
 
Si unaona maana ya amani na utulivu ilivo na maana tofauti kati ya watawala na watawaliwa?
 
Haya mambo tusubiri tuone, maana hiyo kampuni ya Integrated ni ya Wasomali ambao ni matajiri sana wana kampuni makubwa nje, lakini hebu tuangalie siri ya biashara za Wasomali kushamiri kwa kasi katika miji ya Dar es Salaam na Mombasa na hali ya sasa ilivyo, je Usalama wetu uko wapi?

Naambiwa hawa Intergrated wanannua majumba ya watu na viwanja kwa fujo maeneo ya Kurasini karibu na bandari yetu, je, watu wa TISS mpo? munalijua hilo maana hata watu nyeti wamelazimika kuuza nyumba zao huko maana jamaa wanatoa Cash kwa bei utakayo wewe

Nani kakwambia ni ya wasomali? Kama ingekuwa ya wasomali kweli mheshimiwa angehusianaje nao?
 
Wengine tunatumia simu hutuwezi kuzipakuwa kwa njia nyingine?
 
haki ya mungu, hii kweli au macho yangu?
 
Huu ni uhuni ambao hatuwezi kuuvumilia hata kidogo. Hata kama ni Urais jamani, ina maana watanzania million 40 hakuna anayeweza mpaka awe mtu kama huyu ambaye hana aibu wala soni? Tutakuwa wajinga sana tukiacha hili litokee.

Binafsi nitahama rasmi nji hii mtu huyu akiteuliwa.
 
thanks for the documents,have you checked annex 2 re;Brela letter to the DCI,it looks as if it has been tweaked up!are the documents authentic?Just being curious!
 
Msomali mmoja wikipedia inasema hivi kuhusu yeye Omar A. Ali - Wikipedia, the free encyclopedia

In 2009, Omar together with his business partner Suleiman A. Dualeh entered an agreement with Shelter Afrique that will see their corporation Integrated Property Investments Ltd take on an ambitious housing project worth $624 million USD in Dar es Salaam, Tanzania known as the Bahari Beach satellite town.[4]
 
Msomali mmoja wikipedia inasema hivi kuhusu yeye Omar A. Ali - Wikipedia, the free encyclopedia

In 2009, Omar together with his business partner Suleiman A. Dualeh entered an agreement with Shelter Afrique that will see their corporation Integrated Property Investments Ltd take on an ambitious housing project worth $624 million USD in Dar es Salaam, Tanzania known as the Bahari Beach satellite town.[4]

Ama kweli Wasomali now have placed the Dar es Salaam Real Estate Industry in a lockdown. Muulizeni John Mashaka.
 
Kisha serikali ya JK ina makarama ya aina yake hasa. Ati imekubaliana na UN kuwa ijengwe mahakama ya kuwaendeshea mashitaka maharamia wa SOMALIA, hapa Tanzania.
 
Alafu kwa hela alizona nazo, badala ya kumrithisha mwanae elimu, uadilifu anamrithisha ufisadi. Hivi Huyo kijana wake tutegemee nini 'akishakomaa' kwenye hiyo tasnia... Tanzania itapona kweli!?

Tutegemee kuwa mbunge kisha waziri bongo ndo ilivyo
 
Jamani jamani jamani...kwanini sheria ya umiliki wa silaha isiwekwe vyema ili tulio na hasira tumalize temper zetu...haiwezekani kashfa za kuku ziwapeleke kuzimu vijana masikini ilihali wizi wa wazi wazi wa kujimilikisha rasilimali ukibarikiwa...
 
biz+index+pix.jpg

Omar Ali (left) financial advisor and Suleiman Dualeh, managing director Integrated Property Investments sign a financing agreement with Shelter Afrique for construction of the satellite town. Photo/LIZ MUTHONI

source : The EastAfrican
 
You don't need Hosea's boys to prove this dude is guilty of corruption...I think things have gone too far, Lowassa should join Mramba and others in court...

Good job invisible!
 
Back
Top Bottom