Iteitei Lya Kitee
JF-Expert Member
- Jan 2, 2008
- 586
- 47
Ya gizani yanakuja mwangani,kavuliwa nguo hadharani kimbilia msuliiii
Naamini watu mtaweza kukipakua na kutoa maoni yenu...
Kumbuka: Nyaraka hizi ni za SIRI KUBWA
Mkuu, Thanks
Hawa jamaa na JK wana siri kubwa sana. Sababu ya kutumia nguvu ya ziada kumsimika Meya wa Arusha , ni kuzuia uozo wao hapo jijini hauonekani. Huyo Meya ni mbadhirifu balaa, na pia walikuwa na mpango wa kutaifisha eneo lote la Kijenge wajenge hotels za kisasa. Hii ndiyo ilikuwa sababu ya kulazimisha Batilda achukue ubunge Arusha. Na hasira hiyo, ndo iliwafanya wana Arusha wamkatae yule mama kwa nguvu zao zote...
Tunafuatilia ramani ya Hotel ya Kempinsk iliyotakiwa kujengwa Kijenge, ikiunganishwa na eneo la Saba Saba Hotel, na Philips......
jamani usiseme hivyo tusije tukavunjiwa kinyumba chetu kijenge, baba yangu ataenda wapi?
Iko wapi hiyo ramani mkuuPole Joyceline, lakini mie nilliona hiyo ramani kabla ya uchaguzi, na ilikuwa inaunganisha Hotel 77 na kijenge ya juu mpaka mlima Kijenge. Hivyo watu wangelipwa fidia na kupelekwa nje ya mji kama kula Gomba Estate....Kumbuka pia kuwa Batilda alikuwa Waziri wa Mazingira, na angeweza kuendelea na wadhifa wake kama angechaguliwa.Sasa hapo ndo angekuja na mipango ya "kiafya" na angefanikisha hilo kilaini!!!
Iko wapi hiyo ramani mkuu
Kwani chatu anaogopwa siku hizi?Lowassa nifisadi mnafiki mwizi mkubwa yule mzee tungekua na viongozi bora wa kitaifa angekua kaisha potweza zamani pamoja na kizazi chake chote ni mtu hatari sana wakuogopa kama chatu
Kuchukua form anaweza akachukuwa kwa kuwa ni wajibu wa Kila mwanachama lakini urais hawezi kupata.Mwanasiaa kama lowasa hawezi kukoka majibu mepesi ambayo wasipenda kujiuliza maswali magumu watakubali
Trough loopo hole za CCM, Through DINI, through loophole za Kikabila. Nitashangaa kuona Lowasa anakuwa president wangu lakini nitashangaana kuskitika zaidi kuona anakuwa jap mgombea wa urais kwa ticket ya CCM
- Losawa atasema mimi naonewa sababu ni mmasai wanataka tusus wamasai tufuge ng'ombe tu tusiwe na mali. Hapa wamsai wasiokuwa na akili waote watajivutaupande wa Lowasa
- Lowasa atasema naandamwa sababu sio Mkatoliki. Hapa vichwa vyepesi mabyo navyo sio wakataloki vitakubali na vitaamini. Wamuulize mbona hata mkapa kaandamwa walau kafanya maigizo ya kurudisha ile kiwanda cha.....
- Lowasaatasema wanaochafua kwa maslahi ya kisaisia na mbio za kuelekea 2015 nakuwa yeye ni safi. Atawaomba wana ccm washikamane na na wawe kitu kimoja dhidi ya wapinzani.
Wazungu walishindwa kukaba chenge sababu walijua yataibuk mengikuhusu BAE jambo ambalo hawakutaka na sisi tukadhani chenge hana hatia
Kwa hili sababu hawana maslahi yao nadhani watakaba mpaka penati. Tusubiri tuone.
Umenena ndugu huyo jamaa hafai ana roho mbaya na visasi hakuna mfano. Na kama JK ndio anamuandaa kisirisiri ataangukia pua.Watanzania,wabongo,Watanganyika,ndugu zangu chondechonde,mkimpa Urais huyo Mmeru anayejifanya Mmasai mmekwisha kwa maana haya ya Jakaya myaonayo ni trailer tu,picha lenyewe Lowassa akiwa rais!