Lowassa ndani ya Monduli, ajiandikisha BVR

Ndio habar zilibakia za Mamvi hizo, Mara ooh anakunywa maziwa ya ng'ombe wake, cjui leo kapanda daladala ndo anaisha hivyo kisiasa na mwisho wa Siku atakuwa anampa ulaji Shigongo kwenye magazeti yake ya udaku
 
Wamemkata mgombea aliyekuwa anakubalika na kumpachika mgombea wa ''Kitengo''
 
aende yeye nina bana.kwahiyo lowasa akiwa nje ya ccm. ni msafi lakin akiwa ndani ya ccm .ni fisadi?mbona mnajichanganya?wadau.
 
Siasa ni mchezo mchafu,hamtaamini yatakayotokea Loasa kuchukua kadi ya uanachama chadema na kukaa nyumbani kwake bila kugombea chochote!...,he iz a maasai buanaa
 
Wapo wapi wale aliokua akiandamana nao na kumshangilia wapi wale waliokua wakiimba na kumfananisha na mitume

Mkuu ulitaka aende nao nyumbani kwake monduli?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…