Lowassa ndani ya Monduli, ajiandikisha BVR

Yaani huyu asipohamisha watu ccm na kuwaletea mpasuko atabakia na legacy ya ufisadi, Richmond na anakatwa basiiii.
CCM wenzake wamemdharau sana.
 

Tehe tehehehehehe tehe! Yule Maradhan.....!?
 
Kimya kingi!!
 

Attachments

  • 1436983198749.jpg
    40.8 KB · Views: 6,053
  • 1436983224546.jpg
    36.4 KB · Views: 1,318
  • 1436983241009.jpg
    71.7 KB · Views: 1,582
  • 1436983256588.jpg
    72.9 KB · Views: 6,659
Kimya kingi!!

Mkuu BRAND,

Hizo picha ni dalili mbaya sana kwa ccm mkoa wa Arusha. Kama wanataka kupona ni bora wakamsikiliza Mzee Kingunge alichowaambia leo. Wakidharau watakipata cha mtema kuni.. Hakuna cha Tingatinga wa Ninganinga.. Watapwerepwetwa vibaya sana.

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Kesho hao manyang'au wa Chadema wataanza kumtukana,ni viroba,bang na gongo vinawatuma sio akili zao,anayebisha achukue madereva wa bodaboda kumi tu apime blood picture aone mwenyewe maajabu,ni wiki iliyopita Lema sehemu kubwa ya mkutano ilikuwa kumchafua Lowssa leo mnaenda kumpigia magoti aingie Chadema,kwa kiasi kikubwa nyie ndio mmesababisha Lowassa asipite Dodoma
 

Huu ni wakati pekee ambapo anatakiwa afanye maamuzi sahihi kisiasa!

Akibugi hapa ndio kwa heri tena,kipindi hiki kabla ya uchaguzi ndio ana hii influence kubwa kisiasa! Upepo kisiasa utabadilika sana baada ya hapa
 
Last edited by a moderator:
Ndugu EL katua jimboni kwake kujiandikisha kupiga kura Jana 15.07.15. Naona jimbo linaenda cdm kwa sababu msafara wake umepokelewa na bendera za chama hicho. Hakuongea chochote zaidi ya kusema endeleeni kuwa na imani na chama chenu kisha kuingia kwenye gari na kuondoka na kuwaacha watu wakiimba peoples power.
 
Dah ama hakika Mwl JK alitabiri vitu vingi likiwepo swala la upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm, ngoja tusubiri tuone kama wakati wake ndio huu!!
 
Hata ingekuwa mimi ningeondoka tu
 
Siamini macho yangu kama leo kweli tunaenda ichukuwa monduli live kwa cdm,mamvi anahamia cdm?????????nikweli au naota,tunakwenda kuchukuwa hii nchi asubuh na mapemaaaaaaa
 
Kwa usalama wake abakie hukohuko ccm,maana akitoka harafu wakubwa wake waone mambo yanawaendea kombo lazima tu watam-KOLIMBA au pia wanaweza kum-MWANGOKA.


Hatuishi kwa kuogopa,tumeanza na Mungu na tutamaliza na Mungu,macho yote ya jumuiya ya kimataifa yatakuwa Tz
 
Alimaanisha nini,,?
wawe na imani na chama kilichompokea au kile kilichompiga chini,,?
 
Lowasa umejimwa haki pambana na mafisadi na mapombe
 
Makombora ya el nayapata sana,sina shaka naye,kama kweli atapeperusha bendera ya ukawa ccm miguu chali,japo tunapaswa kujipanga kulinda kura manake wanategemea jeshi la polisi kufanya vurugu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…